Nauza Unga wa Alkasusu

Nauza Unga wa Alkasusu

Faida za ALKASUS
1.Kuupa mwili nguvu na hamu ya tendo la ndoa
2.Kutibu tatzo la kukosa Choo au kinyesi kigumu
N.k
 
Karibuni sana mzigo upo wa kutosha. Jipatie unga wa Alkasus
Toka milima ya Tanga-Lushoto
 
Karibu ujipatie unga wa ALKASUSU Kwa bei ya 8000 Kwa pakiti ya gramu 250.
Napatikana Dar es Salaam
Mawasiliano 0767941735

Dah...wanaume wa Dar kazi tunayo...hivi kunakipimo cha kupima kujua mtu anaupungufu wa nguvu za kiume...

Kugeukia haya madawa ndo utakuwa mwisho watu..

Vijana wenzangu badala ya kukimbilia kwenye miti shamba bila kujua tatizo linasababishwa na nini ndiyo tunazidi kuongeza tatizo..kabla ya kukimbilia haya madawa tuwaone wataalamu wa afya kwanza.

Wakati mwingine unakuta hamna tatizo ni shida ya kisaikolojia tu..mtu unahitaji huduma ya ushauri unaishia kutumia madawa yasiyo na vipomo mwishowe unakuwa hamna kitu.

Kama vizur ..fanya mazoezi..pata muda wa kupunzika...shiriki na mwenza wako..cyo kuishia kunywa madawa kwa ajili ya kudanga...
 
Mkuu hii ni kama kahawa tu. Inachangamsha mwili na kuweka sawa mzunguuko wa damu.
Karibu

Sent using Jamii Forums mobile app
Unatengenezwa na nn Huo unga??
Kuna wengine wanasaga Erecto tabs 100mgs wanachanganya
Tuwekee ingredients zake hapa

Kuna siku nimekunywa Kitu kilisoma 5g kidogo radiation zilete shida Kama za korona
Bahati nzur mama yeyoo alikuwa home
Akawa insulator wa radiation

La sivyo ingekula kwangu
Nlipiga mashine hatar fayaaa akaniambia Kuna Kitu nmetumia nikaruka futa mia

Masaa matano Kitu hakilali, nikashtuka ile chai nliyokunywa wameniwekea
Maklafeti,
Nlipata taabu Sana nataka siku ninywe halafu ni mchukue Pisi kali au Sky Eclat au Carleen
Tufurahie maisha
Siku hiyo nataka niwe na kipururu mixer na Alkasusu Waka waka

Sent by IPhone
 
Yaani mkuu nguvu yenyewe mpaka u-boost ndiyo unataka usumbue nayo watu.!!?
Hebu be you kisha ndiyo uanze kutag watu..!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom