Upekee Wa Computer Za Mac Apple Desktop

Upekee Wa Computer Za Mac Apple Desktop

Dr. Zaganza

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2014
Posts
1,630
Reaction score
2,486
Drone Computer wauzaji wa muda mrefu wa Computer, sasa tumekuletea Computer za mac Apple ' All in one zenye sifa zifuatazo...; 160 gb hdd, 2GB ram, screen size inch 20, CPU na speaker zimo ndani ya screen, internet inatumia hotspot ya simu, mpya toka u.s.a ,6months warranty, zinauzwa Bei ya offa tzs 450'000 / ( laki nne na nusu tu). Tupo mbez Luis(Mbezi mwisho baada ya Kimara)... pia unaletewa ulipo na mikoani tunatuma ...offer: free keyboard and mouse ... wasiliana nasi kwa no: 0713 039 875 karibi sana!!!!!
 
Attachments

  • WhatsApp Image 2019-06-19 at 17.25.43.jpeg
    WhatsApp Image 2019-06-19 at 17.25.43.jpeg
    30.9 KB · Views: 54
  • WhatsApp Image 2019-06-19 at 17.25.43(1).jpeg
    WhatsApp Image 2019-06-19 at 17.25.43(1).jpeg
    27.7 KB · Views: 43
  • WhatsApp Image 2019-06-20 at 13.34.36.jpeg
    WhatsApp Image 2019-06-20 at 13.34.36.jpeg
    41.3 KB · Views: 48
  • WhatsApp Image 2019-05-04 at 10.08.00.jpeg
    WhatsApp Image 2019-05-04 at 10.08.00.jpeg
    45.4 KB · Views: 39
  • WhatsApp Image 2019-05-04 at 10.08.00(1).jpeg
    WhatsApp Image 2019-05-04 at 10.08.00(1).jpeg
    32 KB · Views: 41
Drone Computer wauzaji wa muda mrefu wa Computer, sasa tumekuletea Computer za mac Apple ' All in one zenye sifa zifuatazo...; 160 gb hdd, 2GB ram, screen size inch 20, CPU na speaker zimo ndani ya screen, internet inatumia hotspot ya simu, mpya toka u.s.a ,6months warranty, zinauzwa Bei ya offa tzs 450'000 / ( laki nne na nusu tu). Tupo mbez Luis(Mbezi mwisho baada ya Kimara)... pia unaletewa ulipo na mikoani tunatuma ...offer: free keyboard and mouse ... wasiliana nasi kwa no: 0713 039 875 karibi sana!!!!!
Hizo specs ni ndogo sana achilia mbali laptop za Mac kua na product ya apple haimaanishi upon juuu kuzidi windows hio ni fikra potofu 450K napata kitu cha windows HDD 500 4GB RAM, na core i5
 
Karibu tukuhudumie
 
HIi ipo ofisi yetu kariakoo, huku mbezi hatuna. wanauza 2.2 million
Thanks Mkuu, lakini maduka ya K/koo kwa kweli yamenipunguzia imani kununua vifaa vya electronics. Awali nilinunua DELL Laptop ikiwa kwenye box, hii ilikaa mwaka mmoja kamili, as if ilikuwa tuned that way!

Nikaenda tena K/koo nikanunua HP (ipo kwenye box), na yenyewe ilikaa mwaka mmoja na miezi 3:-
Ajabu nikanunua used Lenovo in SA lakini huu ni mwaka wa 3 bado inadunda!!

About 2 weeks ago nimenunua adapter ya HP, hapa nilipo natafuta muda nikatafute adapter nyingi!!!

Anyway, I know wapo sellers wengine huko huko Kariakoo ambao bidhaa zao ni mzuri lakini binafsi, maduka ya Kariakoo yameshanitumbukia nyongo linapokuja suala la vifaa vya electronics!
 
Yaani mimi kariakoo naogopa hata kununua simu tu
 
Kikubwa uwe na ujuzi wa kutofautisha original na fake, dunia nzima kuna utapeli.Karibuni
 
The problem K/koo wanafanya refurb wenyewe, kwahiyo hata kama ni mtalaamu, huwezi kujua ubora wa vifaa walivyoweka ndani.
 
Nunua kwa muuzaji anayekupa waranty.Kama ofisi yetu inatoa 6 to 12 months
 
Hizo specs ni ndogo sana achilia mbali laptop za Mac kua na product ya apple haimaanishi upon juuu kuzidi windows hio ni fikra potofu 450K napata kitu cha windows HDD 500 4GB RAM, na core i5
Kabisaa viwango vidogo mnoo haina maana kuwa na Computer ya 2GB Ram alaf processor DuoCore kisa ni Mac huo ni ujinga!
 
Drone Computer wauzaji wa muda mrefu wa Computer, sasa tumekuletea Computer za mac Apple ' All in one zenye sifa zifuatazo...; 160 gb hdd, 2GB ram, screen size inch 20, CPU na speaker zimo ndani ya screen, internet inatumia hotspot ya simu, mpya toka u.s.a ,6months warranty, zinauzwa Bei ya offa tzs 450'000 / ( laki nne na nusu tu). Tupo mbez Luis(Mbezi mwisho baada ya Kimara)... pia unaletewa ulipo na mikoani tunatuma ...offer: free keyboard and mouse ... wasiliana nasi kwa no: 0713 039 875 karibi sana!!!!!
acha utapeli we fala, computer ya apple mpya iuzwe 450k? you are foolish.
 
Kwa wateja mnaouliza mbezi Luis ni ipi, Jibu:ni Mbezi mwisho au mbezi ya kimara iliyopo Morogoro Road.Karibuni
 
Drone Computer wauzaji wa muda mrefu wa Computer, sasa tumekuletea Computer za mac Apple ' All in one zenye sifa zifuatazo...; 160 gb hdd, 2GB ram, screen size inch 20, CPU na speaker zimo ndani ya screen, internet inatumia hotspot ya simu, mpya toka u.s.a ,6months warranty, zinauzwa Bei ya offa tzs 450'000 / ( laki nne na nusu tu). Tupo mbez Luis(Mbezi mwisho baada ya Kimara)... pia unaletewa ulipo na mikoani tunatuma ...offer: free keyboard and mouse ... wasiliana nasi kwa no: 0713 039 875 karibi sana!!!!!
Bado zipo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom