Business as usually guys tumepata matumaini mapya sasa tufanye kazi, nitawaletea fursa za connection international and local with conditions to be respective on the agenda.
1)Lets start with...
Karibu wadau zangu. Tupo kukusaidia Wewe kupata Nyumba nzuri naViwanja vizuri kwa Kupanga ama Kununua ndani Dar es salaam.
Ikiwa una uhitaji wa nyumba ya Kupanga au kununua ama una uhitaji wa...
Simu ni ya kwangu, niliinunua for temporary usage baada ya simu yangu niliyokuwa naitumia kupasuka display. Kwasasa nimeshaifix simu yangu hiyo ya awali hivyo nataka kuiresale hii niliyotumia kwa...
Kiwanja kizuri sana, Kipo karibu na barabara Kubwa ya lami.
Ukubwa wa Kiwanja - Mita za Mraba 400 (Unajenga na Nyumba ya Vyumba 3 na eneo linabaki kwa matumizi mengine i.e parking)
Bei - Tshs...
Wakuu habarini za leo?
Nipo hapa kwenu kuwaambia nauza karanga mbichi gunia moja yeyote mwenye uhitaji inbox me please.
Natanguliza shukurani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Katika kutii agizo la Serikali lilitolewa April 2 la kusitisha gharama mpya za vifurushi, TTCL Corporation April 3 ilianza na kukamilisha mchakato wa kurejesha gharama za zamani za vifurushi"Kaimu...
Nina Samsung a10s black
Ram 2GB
Rom 32GB
Nafanya exchange na iphome 6s naongeza na hela... Simu yangu used 1 montsh
Ni kwawakazibwa Dar es Salaam tu.
0759377457.
Naomba kuuliza mwenye laptop anauza.
RAM iwe kuanzia 3GB na kuendelea.
Hard disc kuanzia 200 na kuendelea.
Ikae na charge kuanzia masaa mawili na kuendelea.
Bei isizidi laki tatu
Kama unayo...
Mwenye uhitaji wa shamba la zabibu lipo ndani ya mradi wa umwagigiliaji (irrigation scheme) lenye ukubwa wa ekari moja na nusu , lina zabibu tayari ,ambapo unahudumia kisha unavuna, bei ni 19...
Karibu ujipatie eneo la kujenga hosteli au nyumba ya kupangisha katika jiji la Dodoma.
Eneo lipo karibu kabisa na chuo cha LGTI-HOMBOLO DODOMA
Umeme upo wastani wa nguzo mbili hadi tatu.
Eneo...
Wajenzi tukutane hapa kwa Mabati na Mbao kwa bei poa, Unapata usafiri Bure mpaka sait.
Tunapatikana Buguruni Chama DSM.
Tupigie [emoji337]0674 344 436
[emoji337]0768 206 093
ZIJUE SABABU KUMI ZA KUNYWA ARGI+.
top ten reasons to drink argi.
acts to release anti aging
hormones.
affects insulin sensitivity so it is particularly useful in maintaining blood glucose...
Kwa huduma zinazohusiana na nyumba kuweka wiring bei nafuu, kupaka rangi za kisasa, kuweka CCTV Camera, Umeme wa Fensi, Alarm systems.
Karibu sana tupo kanda ya ziwa mikoani tunafika.
Hutajutia...
Kiwanja namba 79 block uu"
Eneo stand mpya maisaka katani.
Ukubwa 40m kwa 30m =1200m squares
Bei=milioni 2 unaweza tanguliza milioni 1 halafu inayobaki tutakubaliana namna ya kulipa.
Ambaye yupo...
Habarini wana jamvi.
Naomba kujua kwa Dar es salaam duka wanalouza, vitabu aina ya.
1. Personal finance
2. Self growth
3. Economics
4. Leadership and management
5. Psychology
Kwa bei ya...