Nauza karanga mbichi gunia moja

Nauza karanga mbichi gunia moja

kurlzawa

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2018
Posts
16,694
Reaction score
20,653
Wakuu habarini za leo?

Nipo hapa kwenu kuwaambia nauza karanga mbichi gunia moja yeyote mwenye uhitaji inbox me please.

Natanguliza shukurani.

IMG-20210420-WA0008.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bei hamna, location hamna wafanyabiashara wa online kuna vitu vingi mnakosea
 
Huwa sielewi wafanya biashara wa Tanzania sijui wamerogwa na nani!

Sasa hapo ndio ametoa tangazo na picha kaweka amemaliza.
 
Wooooiii wooooiii wooooiii wooooiii wooooiii wooooiii wooooiii wooooiii

Ni nini hikiii??
Gunia unauza laki nane?????kweli
Hatar Sana
 
ukiwa na game ukagonga kilo moko ya izo, unamwaga pipa zima
ila 90k kwa kilo paref sana
 
JF imejaa wahuni tupu comments za vijana walio dharauliwa na ndugai
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom