INAUZWA Inauzwa tiba asili zilizoidhinishwa na Serikali ( covidol, nimr caf na buyegi)

Pretty P

Senior Member
Dec 27, 2010
121
20
Tunauza na kusambaza dawa/tiba asili ya homa, mafua na matatizo ya mfumo wa upumuaji (COVIDOL) Tshs 25000, pamoja na dawa Lishe kwa ajili ya mafua makali na kikohozi kikavu (NIMRCAF) Tshs 15,000 na dawa aina ya BUYEGI Tshs 20000 kwa jumla na reja reja. Tunafanya delivery kwa mikoani na nje ya nchi.

Kwa mawasiliano zaidi piga Simu +255 767333356 pia tembelea ukurasa wetu instagram "shangwe_business_centre.

Tunajali afya yako na jamii nzima
 
Tunauza na kusambaza dawa/tiba asili ya homa, mafua na matatizo ya mfumo wa upumuaji (COVIDOL) Tshs 25000, pamoja na dawa Lishe kwa ajili ya mafua makali na kikohozi kikavu (NIMRCAF) Tshs 15,000 na dawa aina ya BUYEGI Tshs 20000 kwa jumla na reja reja. Tunafanya delivery kwa mikoani na nje ya nchi.

Kwa mawasiliano zaidi piga Simu 0767 333356 pia tembelea ukurasa wetu instagram "shangwe_business_centre.

Tunajali afya yako na jamii nzima
Mh, nchi hii kwishney. Watu wanatengeneza kachumbali (NIMRCAF) , Kisamvu (covidol) wanauziwa watu eti ni dawa ya corona and other respiratory system complications! If human medicine could be that much simple, there would not have been a need for hospitals and sophisticated medical research centres worldwide

wazungu wajinga, why all these complicated maps to decipher covid-19 disease mechanisms while tangawizi, limao and vitunguu can make a difference Erythrocyte BAK

1614499409622.png
 
Pretty P usijali, sikulaumu wewe, wewe unauza products za watu, hivyo huna lawama. Concern yangu ni hao the so called Tanzanian scientists from NIMR kuwa eti hiyo ni dawa ya corona.... kachumbali
 
Mimi huo mchanganyiko wa nimrcaf sijauelewa pilipili kichaa 5 kweli??
 
Back
Top Bottom