Karibuni wenye watoto, wadogo zenu, ndg, jamaa na marafiki wanaosoma masomo ya sayansi kidato cha 1-4 Physics na Chemistry. Materials haya ni maandalizi mujarabu kabisa kwa ajili ya ufaulu mzuri...
Habari wakuu
Nauza kiwanja ambacho kipo Kimbiji Kigamboni
Kina ukubwa wa SQM 520
Kiwanja kina hati tayari toka ardhi
Umbali toka feri ni 35 Km
Kiwanja cha corner
Umeme na maji tayari
Mimi mmiliki...
Kwa Anayehitaji App Nzuri kwa Ajili ya Kutunza Kumbukumbu za Mauzo ya Biashara.
Inauzwa 20,000/= tu.
Anicheck WhatsApp 0764181161
Nitamtumia Link ya Play Store, Pamoja na Video za Namna...
Salama wakuu.
Nahitaji gari tajwa hapo juu iwe katika hali nzuri na Muuzaji akiwa mmiliki itakua jambo zuri zaid.isiwe repainted.isiwe rangi nyeupe wala nyekundu, offer ni 7M.
Nawasilisha...
Tende zinapatikana.Box moja 10kg.
Bei 56,000/=
Tunapatikana Dar es Salaam
Tunafanya delivery/Tunafikisha mzigo
Mawasiliano: 0767941735
Karibuni Sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Wap kwa Dar naweza pata apartment ya bei rahisi!!
Rahisi nikimaanisha irange 200000-400000/= kwa mwezi
Ikiwa katkat ya mji ni vizuri zaidi
Ila hata pembezoni sawa tu
Kiwanja Kilichopimwa Kinauzwa
Mahali: MbeziBeach Makonde
Kipo umbali wa dakika 3 kwa kutembea kwa miguu kutoka barabara ya lami ya bagamoyo.
Kiwanja Kimepimwa na kina hati safi.
Ukubwa wa...
Nyumba kali sana inauzwa wilayani Tarime Mji, maeneo ya Nkende shule ya msingi, ina eneo la 25x40, nyumba ni kubwa sana ina vyumba 3 vya kulala na kimoja ni master, dining room, siting room kubwa...
Nawasalimu kwa Jina la Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania
Husika na kichwa cha Habari Hapo juu.
Nawauza Hao sungura watatu Hapo wamezidi utukutu. Naona bora niwauze drop your offer kwa wote hao...
Habari wa JF
Nauza nyumba yenye vyumba vitatu, ukumbi, dinning, jiko
Vyumba viwili ni master na public toilet moja
Nyumba una fance tayari
Umeme maji tayari
Nyumba ya pili toka barabara kuu ya...
Habari,
Pikipiki aina ya Boxer 150cc Inauzwa.
Condition: Used
Mahali: Kigamboni
Bei: 950,000
Documents zipo.
Kwa kijana anaeanza maisha itamfaa kwa bodaboda. Kama atakua na uwezo wa kuweka...
Nauza mashine ya juice ya miwa na banda lake na kila kifaa cha kazi ikiwepo vyombo vya wateja,vya maji na extension ya umeme wewe ni kununua miwa tu na kuanza kazi..
Inatumia umeme
Imetumika MIEZI...
Kama unahitaji software hii basi check me on 0713388317/0757749641.
Iko complete from Source documents to Final financial statements. Na imefuata sheria zote za kiuhasibu IFRS/IPSAS!
Karibu...
Wakuu habari naomba msaada kwa anayejua kifaa hiki wapi KIinauzwa nitashukuru sana nimekwama kufanya mishe za dignosis kwenye machine yangu ya LAUNCHER
DBS SCAR 5
MODEL DS 201
Nahitaji kiwe volt...
RAHDAN is a Professional Cleaning Company in Tanzania offering services like Home Cleaning & Maid Services, Office Cleaning Services & Fumigation Services
ndugu wana JF, nataka kununua gari dogo (used) nina US $ 3,000 mkononi ambazo naweza kutoa kama downpayment katika mkopo na kulipa kidogo kidogo kwa mwezi kiasi fulani hadi kumaliza deni la...
Habari wadau,
Naomba kama kuna anayefahamu namna ninaweza kupata mizinga ya kufugia nyuki. Kwa ajili ya kuweka shambani kwangu. Ninahitaji michache kama mitano hivi.
Mimi nipo Dar es Salaam Ila...
Je wewe ni mwajiriwa lakini mshahara unaoupata hautoshelezi kuyaendesha maisha yako?
Je umekuwa kwenye ajira kwa miaka mingi, lakini kikubwa ulicho nacho ni madeni na mishahara haikutani?
Je...
Habari wana Jf kuna jirani yangu Mbezi beach upande wa Kushoto kama unaenda Tegeta na eneo liko tambalare amekata eneo lake kipande cha square meter 840 muuzaji nae yuko hapo hapo eneo lote lina...