Miliki kiwanja kizuri chenye hati na kwa gharama nafuu.

sirajj johnn

JF-Expert Member
Apr 5, 2017
1,509
847
Miliki kiwanja kizuri chenye hati
Na kwa gharama nafuu
Barabara zimechongwa
Maji na umeme vinapatikana

Vipo katika mikoa ifuatayo:
Dar(vipo kigamboni maeneo tofauti tofauti.

Arusha(murieti dampo,East African road,mkonoo,marombo,bonny city na Intel.

Mwanza(Buswelu maeneo ya mbogamboga

Hii ni kutoka kampuni ya
One2one focus company limited Tz.

Ofisi zetu zipo:

Dar(Makao Makuu)
Makumbusho complex
Floor ya kwanza

Arusha
Namvua plaza floor ya NNE

Mwanza
Buzuruga plaza
Floor ya pili

Contacts:
Whatsap:0766195115
Au tembelea tovuti yetu:
Www.one2onefocus.com

Karibuni sana
[HASHTAG]#nyumba[/HASHTAG] yako maisha yako.
 
Wakuu kiwanja kinauzwa njia ya kwenda chanika kunaitwa mwanadilatu.

Chanye upana wa mita 15,24 na urefu 47,29 kwa bei ya million nane na nusu 8.5 million
Karibuni sana
Piga number 0766195115 kwa mawasiliano zaidi.
 
Njia ya kwenda chanika ni kutoka pugu kajiungeni mpaka chanika. Unazungumzia kiko wapi
 
Wakuu kiwanja kinauzwa million tatu tu!
Chenye ukubwa wa 30*40
Kipo Buswelu maeneo ya ilalila center
Ni kilometer moja na nusu kutoka ofisi za wilaya ya ilemela na kilometer moja kutoka ofisi ya mkuu wa wilaya ya ilemela
Sehemu hii Huduma zote za kijamii zinapatikana kwa urahisi kabisa
Karibuni sana waungwana

Kwa mawasiliano: whatsap au kupiga ni 0766195115 Ahsanten na karibuni.
 
Waungwana kiwanja kiuzwa Buswelu maeneo ya Lagos
Ukubwa 16*28
Bei million 5
Kimepimwa kabisa.
 
Rejea kichwa cha habari
Tunauza viwanja kwa gharama nafuu vilivyopo Ruvu kibaha karibu kabisa na bandari kavu na ni km(60)kutoka Ubungo
Viwanja vipo vya biashara na makazi
1.vya biashara ni laki nane na
2.vya makazi ni laki tano tuu.
Ukubwa wa viwanja ni 40*20 na viwanja vimepimwa.
Sisi kama kampuni ya One2one focus limited Tz.
Tutashughulika na swala la kuprocess Hati na kumkabidhi mteja wetu ili kuweza kunufaika na hii fursa .
Utapata kuchukua form kwa gharama ya shillingi elfu kumi tu.

Form zinapatikana katika matawi yetu yote ya:
Dar(Makao Makuu)
Makumbusho complex
Floor ya kwanza

Arusha
Namvua plaza
Floor ya nne

Mwanza
Buzuruga plaza
Floor ya pili
Pia waweza kunicheki WhatsApp kwa (0766-195115)
Kwa Maelezo zaidi naweza kuku Add kwenye group letu la WhatsApp la viwanja.
Ewe Mtanzania hii ofa si..ya kukosa ya viwanja vya bei chee
Karibu sana One2one focus company limited Tz
Kwa viwanja vya gharama nafuu
Ahsante sana na karibu sana.
 
Asante Magu. ..viwanja kwa bei ya Shati. ..

Kopesheni ili vyote viuzike msiingie kuvilipia gharama kodi ya viwanja kila mwaka
 
Back
Top Bottom