Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Drone Computer wauzaji wa muda mrefu wa Computer, sasa tumekuletea Computer za mac Apple ' All in one zenye sifa zifuatazo...; 160 gb hdd, 2GB ram, screen size inch 20, CPU na speaker zimo ndani...
0 Reactions
21 Replies
6K Views
Karibu ujipatie spare tyre.. Ni tundu nne ipo vizurii inauzwa elf60 Ipo dar 0626688559-0747583182 Karibu sana.Njooo uichukue
0 Reactions
0 Replies
881 Views
Wakuu Habari, Wapi naweza pata duka linalouza vile vitabu vikubwa vya kuandikia Risiti za mkono kwa hapa Dar?. Nataka kuanza biashara ndogo nahitaji hivi vitabu kwa ajili ya Risiti na kumbukumbu...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Kizima kabisa hakina tatizo lolote Kipo tabata mwananchi dsm tanzania call/txt 0768048752
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Nauza scooter aina ya honda Model Honda Click 125Cc. Bado ina hali nzuri mnoo imepasuka taa ya mbele tu. Bei 1,500,000 (maongezi yapo) ipo dar mwananyamala kwa maelezo zaidi piga namba hii 0783150130
1 Reactions
9 Replies
3K Views
kama uzi unavyojieleza nauza samaki mbichi kutoka nyumba ya Mungu zinafaa kwa matumizi ya nyumbani na biashara Samaki zinatofautiana size kuna size zinazofaa kwa ajili ya matumizi ya nyumbani...
3 Reactions
9 Replies
4K Views
*TUNAUZA VYAKULA VYA MIFUGO KWA BEI NAFUU* Huduma ya Usafiri ipo.[emoji1631]🛺[emoji597].``` Mashudu ya Alizeti - @480/kg Mashudu Alizeti sagwa- 500/kg Mashudu ya Nazi - @350/kg Mashudu ya...
4 Reactions
2 Replies
3K Views
Hello wapendwa peleni na majukumu, kwa sasa nipo Dar nina shida na mzigo wa choroko kilo ninanunua 1400. Ninahitaji mzigo mwingi hata Tani 500 kama kuna MTU ana mzigo tuwasiliane.
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Kioo ni kipya hakijatumika nilikinunua kwa ajili ya kufanyia shughuli fulani lakini nimebadili mipango. Simu 0672028920
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wadau wa JamiiForums ninge penda kuwa omba yoyote mwenye atakuwa na kazi ya kusafirisha kokoto, mawe, mbao ninge omba connection kama mwenye gari. Naomba unipigie 0625528029.
0 Reactions
2 Replies
866 Views
Nawasalimu kwa jina la Jamuhuri!!! Karibuni sana ndugu zangu, ninatengeneza na kuuza dagaa wazuri, watamu, safi na salama kutoka ziwa victoria wajulikanao kama Nyama Nono Nyama Nono ni dagaa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Heshima kwenu wakuu,Tafadhali naomba kusaidiwa jambo.Ninahitaji kununua TV flat screen yenye bajet ya 1,100,000. Sasa kuna mdau mmoja aliwahi kuniambia kuwa Zanzibar TV ni bei nafuu zaidi ya Dar...
1 Reactions
29 Replies
15K Views
Wakuu habari zenu, Natafuta Mikasi ya kubangulia Korosho mwenye nayo ani pm nipo Dar es salaam Asanteni.
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Niko Rorya na shida kubwa huku Ni mabadilko ya Hali ya hewa. Huku tumezoea kilimo Cha kutegemea mvua. Nyenzo pekee tunayotegemea Ni kutumia ng'ombe ambao kwa nyakati za kiangazi wanaathiriwa na...
2 Reactions
9 Replies
7K Views
Peanut Butter (Siagi ya karanga) Hii ni karanga iliyosagwa na kuchanganywa na chumvi kwa ajili ya matumizi ya nyumbani. Siagi hii ni mbadala kabisa kwa wale wanaohitaji kubadilisha mfumo wa ulaji...
3 Reactions
8 Replies
3K Views
Bei ya vitanda vya kisasa sawa na buuure kabisa, nipo Mbezi beach -Salasala. 0679478758 4 kwa 6 , 250000 5 kwa 6, 300000 6 kwa 6 , 350000 Karibuni sana.
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Nauza shelve za duka bei ya hasara laki tatu nipo Banana Ukonga 0712505049 Ziko pande tatu chumba cha kumi kwa saba
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nahitaji gari za kupigia misele au shughuli zangu za hapa mjini Sasa kwa mwanza ni wapi wanakodisha. Bei kwa siku zikoje?
3 Reactions
15 Replies
3K Views
UPDATE LEO JULY 2 2021 LAPTOP ZIMEWASILI NA OFA YA VITABU Drone Logistic tumekuwa tukiwasaidia watanzania ushauri bure juu ya bidhaa bora toka nje ya nchi na jinsi ya kuziagizia kwa ufanisi...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…