Kokoto, Mkaa, Mchanga na Vifusi

Timetraveller

Member
May 8, 2021
28
45
Kwa wahitaji wa mahitaji tajwa hapo juu kwa bei nafuu!
Kokoto nyeusi saizi zote
Tarazo (white stone)kokoto nyeupe za urembo (mawe meupe
Mchanga aina zote
Mkaa uwakao kwa muda mrefu na usiokuwa na cheche
Vifusi.
Pata kwa bei nafuu. Tunakuletea popote ulipo kwa walio dar.
0783 831038
0659 465176
 
Timetraveller

Member
May 8, 2021
28
45
Ungeweka hata bei elekezi kwa tuliopo Dar
Canter 120,000
Fuso 240,000
Mende 450,000
Semi treiler 1.5 mil
Hizo ni bei za kokoto nyeusi, inategemea ni material ipi inayoihitajika kama ni kokoto,mchanga,tarazo ( kokoto nyeupe za urembo)
Bei zinatofautiana kutokana na mzigo unapokwenda.
 
Timetraveller

Member
May 8, 2021
28
45
Kokoto nyeupe, kokoto nyeusi, mchanga na vifusi karibuni View attachment 1791032 View attachment 1791031 View attachment 1791034 View attachment 1791033 View attachment 1791036 View attachment 1791035
images(1).jpg
View attachment 1791037 View attachment 1791038
 
RRONDO

JF-Expert Member
Jan 3, 2010
45,126
2,000
Canter 120,000
Fuso 240,000
Mende 450,000
Semi treiler 1.5 mil
Hizo ni bei za kokoto nyeusi, inategemea ni material ipi inayoihitajika kama ni kokoto,mchanga,tarazo ( kokoto nyeupe za urembo)
Bei zinatofautiana kutokana na mzigo unapokwenda.
Mnaleta popote pale?
 
Fahari

JF-Expert Member
Jun 11, 2014
1,012
2,000
Canter 120,000
Fuso 240,000
Mende 450,000
Semi treiler 1.5 mil
Hizo ni bei za kokoto nyeusi, inategemea ni material ipi inayoihitajika kama ni kokoto,mchanga,tarazo ( kokoto nyeupe za urembo)
Bei zinatofautiana kutokana na mzigo unapokwenda.
Weka bei zako kwa cubic meter, mfano hiyo canter ina ujazo wa cubic meter ngapi?
 
Timetraveller

Member
May 8, 2021
28
45
Weka bei zako kwa cubic meter, mfano hiyo canter ina ujazo wa cubic meter ngapi?
Weka bei zako kwa cubic meter, mfano hiyo canter ina ujazo wa cubic meter ngapi?
Kokoto nyeusi
Canter cubic meter 2-3 laki moja na hamsini.....
Fuso cubic meter 4-5 laki tatu.....
Mende cubic meter 10-12 laki tano na nusu

Tarazo ( kokoto nyeupe)
Fuso cubic Meter 4- 5 laki tano....

Mchanga
Canter cubic meter 2-3 elfu themanini
Fuso cubic meter 4-5 laki moja na hamsini....
Mende cubic meter 10-12 laki tatu

Kifusi
canter cubic meter 2-3 elfu hamsini
Fuso cubic Meter 4-5 laki moja....
Mende cubic meter 10+12 laki mbili na ishirini
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom