Karibu nikuuzie hii mashine.
Imekaa muda mrefu kidogo bila kutumika ila inawaka vizuri sana.
Iko full document
Changamoto zake:
Betri sio zima sana
Master brake ya mbele
Breki ya mbele
Hivi...
Habari wakuu,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza natafuta wauzaji wa mbao wenye mashine za kupasulia mbao. Ukiwa kama mtu binafsi ama kiwanda waweza kunipm pia kama ni wholesaler wa mbao pia...
HDD 500
Ram 4
Pro 1.6
Aina HP Pro Book 6360b
Bei 190,000
Cont 0628674204 | DSam
Shida
*Haikai na chaji
*Spiker inamikwaruzo kwa baadhi ya video inalia vizuri
Ukubwa wa kiwanja:
Kaskazini mita 8
Kusini mita 27
Magharibi mita 21
Mashariki mita 35
Kiwanja kipo kwembe ,kituo cha mabasi luguruni ( kwa mkuu wa wilaya ubungo) ,njia ya kuelekea ofisi ya...
Lipo kwenye hali nzuri mwenye nalo anahama mkoa kesho hivyo atakaehitaji ni aje achukue leoleo kimara. Tsh 120000 bado lina hali nzuri sana dukani ni laki3
Tuwasiliane pm
Heshima kwenu wajasiriamali tunawaletea mashine za kukaanga,kuchemsha na kunyonyoa kuku boresha biashara yako kwa hizi mashine bora kutoka strong tech
Kaanga samaki kisasa zaidi.
tunapatikana...
Nauza laptop yangu niliyokuwa nafanyia tafiti juu ya kilimo na ujasiriamali baada ya zoezi kukamilikaili nipate fedha ya kugharamia vifaa vya tafiti inayofuata:
Ndani ya laptop hii kuna program...
Hi guys, naomba mniunge mkono Nina HEAVY DUTY blender za SILVER CREST Zenye watt 4500,[emoji1491]
Ni nzuri Sana na zinafaa kwa shughuli nzito za Office na nyumbani.
Zinasaga nafaka,lishe ya...
Unaweza kuweka oder yako kupitia namba hii hapa 0786866021 au whatsapp namba 0659971309 keki zetu ni tamu sana na hautojutia kula keki zetu[emoji1374].
Tunauza bidhaa nzuri zilizotengenezwa kwa mti wa muanzi yaani bamboo tree, bidhaa ni nzuri, zipo kwenye kiwango cha ubora wa juu na salama kwa matumizi.
JE, FAIDA YAKE AMA UPEKEE NI UPI?
Kwanza...
-Kiwanja ni kikubwa sana kikiwa na ukubwa square meter 1350 (45 kwa 30)
-Kipo Mbezi Msumi njia panda ya kavimbirwa
-Kinaface barabara kubwa ya mtaa
-Kiko tambarare
bei; mil 16 ( mazungumzo...
Wadau habarini za saa hizi? Poleni kwa majukumu ya ujenzi wa taifa letu.
Napenda kuwajulisha kwamba ninauza puppies wa mbwa aina ya German Shepherd (maarafu kama mbwa wa kipolisi) wenye umri wa...
Tunauza machine mpya kabisa kwa za hard ice cream au maarufu gelato.
Voltage: 110V/220V 50/60hz
Power: 1.6KW
Size: 525 x 490 x 640mm
Weight: 65kg
Cylinder : 5L
Cylinder Size: 22 x 10.5cm...
Mashine ya kisasa kwa ajili ya kutengenezea juice ya miwa
Inachuja yenyewe
Inaweza kusaga
kabisa,ya kisasa kwa ajili ya kutengenezea juice ya miwa
Inachuja yenyewe
Inaweza kusaga mpaka miwa...