Nahitaji dreva wa muda mwenye leseni ambayo ni updated ipo carent ,mstarabu aniendeshe leo tu ,nitakuwa ..anizungushe mjini na kunipeleka bagamoyo malipo ni 35000/- kazi itaanza saa nne mpk saa...
Tunatengeneza magari aina zote na kwa uaminifu wa hali ya juu kabisa,tunapatikana Mwenge na popote tunafika ndani ya Tanzania.
Kwa mawasiliano zaidi piga namba 0672513370.
Nauza shamba. Shamba lipo maeneo ya mkuranga kikungo sehemu panaitwa kibululu karibu na Kibululu Primary School (Kikungo ni kituo cha mbele baada ya Kiparang'anda).
Lina heka 4 zinapelea kidogo...
Habarini wanajukwaa. Nafikiria kuanzisha biashara ya kuuza pipi na Big-G, je wapi naweza kupata pipi kwa bei ya jumla? Nimetembelea Kariakoo na Manzese ila nimeona bei ni zile za wanaouziwa...
Wana bodi nakuja Bongo sitaki kupanga wala kuishi guest ajili ya kubana matumizi nahitaji Mobile house, kwa bei nzuri zinapatikana wapi DSM, nahitaji hicho kitu Kiwanja kiko salasala
A-level
Kwa wale
Form five
Lisiters
QT
Walimu
Sasa notes zote zinapatikana kwa mfumo wa softctopy full package unatumia mpaka unamaliza A-level.
Ni masomo yote matatu (3) ya combination kila...
Natafuta kampuni au mwekezaji yoyote wa kujenga kituo cha mafuta katika eneo langu .
eneo lipo katika barabara kuu Arusha-Dodoma(maelezo zaidi picha na sehemu husika Dm nitakupa)
Azolla bado imeonesha kushika kasi hasa katika ufugaji wa kuku, samaki, ng'ombe mbuzi sungura na nguruwe kwan inapunguza kiasi kikubwa cha gharama ya chakula pia inaongeza ukuaji na afya ya...
Google Pixel 4 panda white in perfect condition. No major scratches or dents. Phone cover included.
4GB RAM.
64GB Internal.
90hz high refresh rate screen.
CPU: Qualcomm Snapdragon 855...
Nauza Samsung galaxy A50 bei Tshs. 450,000 picha sina maana ndio simu nnayoitumia hapa. Ukihitaji mawasiliano: 0689 150 968 watsapp 0625 576 082 ipo na charger yake original
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.