hahahaha
Mkuu unatafuta bodi lake bila shaka, utapata mkuu..gari brevis au verosa inahitajika kwa pesa taslimu 3m
gari iwe katika hali nzuri yenye uwezo wa kufika sehemu yoyote tanzania..nipo mbagala zaidi nichek pm
gari brevis au verosa inahitajika kwa pesa taslimu 3m
gari iwe katika hali nzuri yenye uwezo wa kufika sehemu yoyote tanzania..nipo mbagala zaidi nichek pm
mtu hata milion hujawahi iona kwa macho unakuja coment pumbaDuh labda kama hiyo gari imetengenezwa Buza.
kama huna vaa chupi funika asali iyoGari Milioni tatu?? Mkuu Aisee ukipata kwa Bei hiyo nishtue Ninunue hata 2 please
niko nabargain hapa na naichukua moja wapo soonMkuu unatafuta bodi lake bila shaka, utapata mkuu..
pesa yako tu, bongo kutembea kwa mguu utake mwenyeweKumbe magari yamekuja kua bei rahisi hivi mbona hamtuambii?[emoji23][emoji23]
dogo umeshiriki kuchafua uzi wangu,, naelekea kupata gariUnataka engine ya brevis au brevis? Sijaelewa hapo...
tembelea mitandao mingine inasites za matangazo ya magari tena kwa bei poaJamaa anaota huyu
gari brevis au verosa inahitajika kwa pesa taslimu 3m
gari iwe katika hali nzuri yenye uwezo wa kufika sehemu yoyote tanzania..nipo mbagala zaidi nichek pm
hii hapana mkuuView attachment 1831480View attachment 1831481View attachment 1831482chukua corrola hii iko Dar kwa 3million only
Call 0683011003