Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Kwa gentlemen wa Dar, napata wap cadet za pamba hazikubana chini? Walau chini iwe 21" naona kizazi kipya kinatutoa sokon tusiopenda fashion za chupa na mlegezo
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Naombeni mnisaidie ni maeneo yepi ktk mkoa wa Dar naweza pata chumba kizuri cha masters kwa bei nzuri ya kizalendo or n maeneo yepi dsm unaweza mshauri mtu akapange chumba na kuanza maisha.
4 Reactions
35 Replies
5K Views
WANHOO 250. Liko Mbezi DSM. Lina Lock Diff option, Liko kwenye hali nzuri sana. Starter, honi, taa n.k; vyote vinafanya kazi. Linaweza kubeba mpaka 1.5Ton. Linatumika kubeba mizigo midogo ya...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
VITAMBULISHO VYA PVC(PVC ID CARDS) Hii ni maalum kwa Shule za Secondary College Taasisi Mtu binafsi Company N.k Tunatengeneza vitambulisho vya PVC (polyvinylChloride) ni vile vitambulisho...
2 Reactions
5 Replies
4K Views
Wakuu habari zenu. Mwenye ndugu au babu yake kama anauza shamba kuanzia heka moja au zaidi lakini liwe barabarani au isizidi kama moja kutoka barabarani. Maeneo yanayohitajika ni kuanzia Kibaha...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Original Casio scientific calculator kwa 20k (sipunguzi) NewRixing Speaker bar 30k Mbezi Africana 0655374238
1 Reactions
2 Replies
870 Views
Habari wakuu, nipo hapa Dar Naombeni msaada. Nataka kufufua gari langu natafuta hizi spare, wapi naweza kupata mpya na genuine? Bei? 5L Engine assembly (complete set ikiwa na kila kitu)...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Vipo Dar Bei ya leoleo tu mwenye kuwahi aje chap 0755417218 UPDATE:MEZA IMESHACHKULIWA VILIVYOBAKI KILA KIMOJA 50
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Tunauza mbao za kupauwa zenye dawa kwa uaminifu mkubwa, na tunakupa ofa ya usafiri bure.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ipo mjimwema mtaa wa Kibugumo Ina vyumba viwili master sitting room Dining Room jiko na public toilet kiwanja kina 25×35 pia mbele kuna Boma la Frem Mbili za biashara bei Tsh. milioni 85 maongezi...
0 Reactions
0 Replies
900 Views
Nahitaji mtu anaeuza flatscreen smart TV inch 32 brand Hisense. Napatikana Morocco ATS office eneo la Ada estate. Tunaandikishiana ofisini hapa kabisa. Malipo: Nitalipa kwa two installments in a...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari, Nahitaji account ya Youtube inayokaribia kutoa matangazo. kwa yeyote alitenayo anicheki tafadhari.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nauza pikipiki yangu ya kutembelea, ipo vizuri sana. Price; 1.5m Location; Mwanza Buzuruga Karibu Pm
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wana jamvi, Nina shida na tofali za kuchoma na molamu niko Dar, Kigamboni. Naomba kwa anayejua mahali napoweza kuzipata aniambie....na bei zake.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nawasalimu kwa jina la Jamuhuri Karibuni sana ndugu zangu, ninatengeneza na kuuza dagaa wazuri, watamu, safi na salama kutoka ziwa victoria wajulikanao kama Nyama Nono. Nyama Nono ni dagaa...
2 Reactions
22 Replies
5K Views
Mradi mpya wa Viwanja vya Makazi Eneo la Vikawe,Km 6 kutoka Barabara kuu ya bagamoyo ●Magharibi mwa Bunju na Mabwe- Pande ●Vipo karibu na Barabara ya Mapinga-Maili Moja( inayojengwa kwa Lami sasa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naulizia duka linalouza vifaa vyote kwa ajili ya kutengeneza incubator Dar es Salaam. Anaye faham msaada taadhali hapa namaanisha fan, thermostart, digital thermometer na mashine ya kugeuza mayai...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kama kicha cha habari kinavyosomeka mwenye nayo mbegu hiyo ya hass anielekeze nimachukye fasta.
0 Reactions
10 Replies
697 Views
Habari wanajamvi karibuni kwenye threat hii, Noble Real Estate ni wauzaji wa mashamba na viwanja waliojitika hasa katika jiji la Dar es Salaam na Pwani. Viwanja vyetu vimepimwa na vinatambulika...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Get fresh whole chicken/Cutups
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…