Nauza viwanja eneo la Vikawe

Mr Ardhi

New Member
Feb 19, 2021
2
20
Mradi mpya wa Viwanja vya Makazi Eneo la Vikawe,Km 6 kutoka Barabara kuu ya bagamoyo
●Magharibi mwa Bunju na Mabwe- Pande
●Vipo karibu na Barabara ya Mapinga-Maili Moja( inayojengwa kwa Lami sasa hivi)
●Vipo eneo zuri ambalo lipo kwenye mwinuko, na hali ya hewa safi sana
●Tsh 8750 kwa mita ya mraba
●Umeme na maji upo
●Maeneo ya jirani na viwanja yameishaendelezwa kwa kujengwa nyumba za kisasa, vituo vya huduma kijamii,hoteli nk
●Malipo unaweza kulipa kwa cash au kwa Awamu.
PIGA SIMU KWA MUHUSIKA MKUU
0713909842/0759463410/0629699432
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom