Nauza CPU ya Computer kwa bei nafuu
Ni Dell Vostro
Ram 4 GB
Hard Disk 800 GB
Bei laki mbili (200,000/=)
Ukinunua nakupa Keyboard na mouth bure
Nipo DSM, Tabata Kinyerezi
Habari za wikiendi pevu wadau wa JF,
Kutokana na uzoefu wetu, tumeshuhudia watu wengi wakipata hasara pale wanapoagiza
bidhaa nje ya nchi kutokana na sababu mbalimbali.
Ni kweli kuagiza kutoka...
Natafuta gari ya kukodi yenye majina hayo hapo juu kwa ajili ya (kukodi) kazi ya mkoani, kama wewe unayo au kuna mtu unamjua anayo mpe ujumbe huu anifate private
Ntampa maelezo zaidi ahsante
Wadau naombeni msaada wenu.
Ninauza kiwanja changu ili niweze kupata Mtaji maana mambo yamenibana sana. Ijapokuwa niliplani kujenga nyumba ila nimekwama na hiyo ploti ndio Inaweza kuninyanyua...
Husika na Kichwa Cha Habari
Tunauza Nondo za Ujenzi Jijini Dar es Salaam
8 mm, 10 mm, 12 mm, 16 mm , 20 mm, 25 mm, 32 mm
Usafiri ni Bure Kuanzia Tonne 1 na Kuendelea
1 tonne - 12 mm (40 feet)...
TOYOTA I.S.T INAUZWA
BEI MIL 7.5
FULL AC
MZIKI MNENE
NEW TYRE&RIM SPORT
CC 1290
ENGINE 2NZ
MWAKA 2005
KM 105000
Mahali iliko: BANANA DAR ES SALAAM..
#CALL 0683011003
Habari wana jamvi.
Natafuta fundi mzuri na anaejielewa wa LED tv yangu. Ina miaka miwili na ushee ghafla juzi imeanza kuonesha nusu screen mistari chenga chenga na nusu ingine inaonesha clear...
Habari.
Kuna ndugu ameniomba nimpostie tangazo lake.
Product tajwa hapo juu inauzwa..
Vitamax double shot.
Ni product kutoka Malaysia imetengenezwa kwa asali na mizizi, Haina kemikali hata...
Kwa mtazamo wangu binafsi naona jamaa amefikiria vizuri sana.
Serikali yetu ya CCM hii tusilaze damu tuchukue fasta.
Na wapinzani nawaonya, Serikali ya CCM ikichukua huu ushauri hahahahahaha...
Gangilonga ni mabingwa kuuza computer aina zote zenye ubora wa hali ya juu bila kusahau warranti, iwe chuo au games au kazi binafsi.
Pia, tunatengeneza computer zenye matatizo mbali mbali kwa...
Habari JF, poleni na majukumu ya kila siku.
Leo napenda niwajulishe kuhusu mafuta ya alizeti nauza elfu 26 kwa lita 5 kwa wakazi wa Dar es Salaam.
Unaweza kuagiza popote ndani ya dar na huduma...
Toyota CHASER BALLOON GX 90
Cc 1800 engine number 4s
Full tinted
Full documents
Reamsports
Safar popote mkoa wowote
call 0683011003
Location Ukonga
Bei million 2.5
Wanajamvi wajasiriamali hasa waliopo kwenye Micro Finance, watu binafsi au SACCOSS au biashara yoyote ya kukopesha fedha.
Je, kati yetu kuna mtu taasisi yake au kampuni wana shida ya kupata...
Hizi ni baadhi ya 3D view za design ambazo nimeziandaa,
1. Ina sitting room, three bedroom, guest room, study room, kitchen, store, public w/c
Inachukua nafasi ya 222.65SQM.
2. hii ina...
Natafuta magari mawili ya chap aina ya Stalet, Ist, vitz, suzuki, platiz, spacial etc
Bajeti yangu ni 3m kwa gari moja. Mwenye nayo njoo chamber tuyajenge.