Je, unahitaji Laptop kwa Bei nafuu?

myola

Member
May 21, 2021
25
45
Gangilonga ni mabingwa kuuza computer aina zote zenye ubora wa hali ya juu bila kusahau warranti, iwe chuo au games au kazi binafsi.

Pia, tunatengeneza computer zenye matatizo mbali mbali kwa upande hardware na software kwa gharama nafuu sana
Tunapatikana Neema Craft - Iringa manispaa
Kwa mawasiliano 0754 317803

Karibu sana.
 
sengobad

JF-Expert Member
Aug 13, 2017
4,571
2,000
Hakuna biashara hapo! Hauwezi kuuza halafu eti unatengeneza zilizo mbovu!!!
 
myola

Member
May 21, 2021
25
45
sio wa kuamini kabisa nyinyi, nilileta laptop haikupona na hela mlichukua, nilichukia sana elfu 50 yangu mkaila hivihivi bila huruma tena mlaaniwe
Sio kweli muogope muumba wako km laptop inasumbua tunafanya uchunguzi kwanza na kukuambia tatizo na kulitatua kisha unalipia.
 
myola

Member
May 21, 2021
25
45
Hakuna biashara hapo! Hauwezi kuuza halafu eti unatengeneza zilizo mbovu!!!
Unajua km ofisi ina mtu wa IT lazima iwe na sehemu kupokea computer zenye matatizo kurekebisha matatizo (mbovu) mfano mteja analeta computer na ukiwasha window ipo corrupt au hdd imeshake lazima ufanye marekebisho (pc maintenance)

Matengenezo nmegusia upande wa hardware na Software km unajua computer
Hardware inaweza kuwa Ram, Fan za laptop au desktop etc
Software inaweza kuwa Anti virus , Os etc
Huwez ukawa unauza computer alafu una mtu wa IT yupo amekaa tu na mteja ameleta laptop yake anasema ina shida unaweza kumjibu mteja sisi tunauza tu computer haturekebishi wala kutatua ila km IT yupo ndo atafanya kazi hyo na pia itarahisi kazi kwa mteja kuanza kuzunguka zunguka wakati tatizo lingetibiwa pale pale
 
Hongera
 
Njiwa wangu

Senior Member
Dec 5, 2020
108
250
Ukishasema unauza na kutengeneza Basi umejiharibia mwenyewe, tunajua unatuuzia mikweche tu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom