Hisence Smart TV
40 inch slid
full hd 1920×1080 pure HD
HLG support
game enhancer
wi-fi n ethernet connectivity
screen mirroring tech
integrated chrome browser
2HDMI
2USB &OPTICAL
ENERGY STAR...
Karibuni kujifunza biashara.
Ni muda mrefu sana toka niwe humu na kutokana na sababu mbalimbali za kimaisha, sikuweza kutumia kabisa social platforms yoyote. My name is Maedson Mahonge...
Ni pilipili nzuri tamu inatoka kwa Jirani zetu wa Rwanda
Niliwahi kufika na kuionja hakika vitamu ukala na nduguyo na nduguyo ndio wewe Pia inasaidia kuleta uzima si wa millele kwenye sehemu...
Wakuu habar zenu,
Kijana mwenzenu ambae ni mdogo wangu ni mtaalamu wa kupaka rangi majumbani na maduka hata ushauri anakupa pia naimani kwa bei kamwe hamtashindwana ni mchapakazi haswaaa
Hizo...
Habari wakuu
kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu nauza TV aina TCL inchi 43
bei Tshs 600,000 mwenye uhitaji anicheki kwenye namba hii 0628751656 mimi nipo Sinon Mashineni Arusha
Nahitaji dreva wa muda mwenye leseni ambayo ni updated ipo carent ,mstarabu aniendeshe leo tu ,nitakuwa ..anizungushe mjini na kunipeleka bagamoyo malipo ni 35000/- kazi itaanza saa nne mpk saa...
Tunatengeneza magari aina zote na kwa uaminifu wa hali ya juu kabisa,tunapatikana Mwenge na popote tunafika ndani ya Tanzania.
Kwa mawasiliano zaidi piga namba 0672513370.
Nauza shamba. Shamba lipo maeneo ya mkuranga kikungo sehemu panaitwa kibululu karibu na Kibululu Primary School (Kikungo ni kituo cha mbele baada ya Kiparang'anda).
Lina heka 4 zinapelea kidogo...
Habarini wanajukwaa. Nafikiria kuanzisha biashara ya kuuza pipi na Big-G, je wapi naweza kupata pipi kwa bei ya jumla? Nimetembelea Kariakoo na Manzese ila nimeona bei ni zile za wanaouziwa...
Wana bodi nakuja Bongo sitaki kupanga wala kuishi guest ajili ya kubana matumizi nahitaji Mobile house, kwa bei nzuri zinapatikana wapi DSM, nahitaji hicho kitu Kiwanja kiko salasala
A-level
Kwa wale
Form five
Lisiters
QT
Walimu
Sasa notes zote zinapatikana kwa mfumo wa softctopy full package unatumia mpaka unamaliza A-level.
Ni masomo yote matatu (3) ya combination kila...
Natafuta kampuni au mwekezaji yoyote wa kujenga kituo cha mafuta katika eneo langu .
eneo lipo katika barabara kuu Arusha-Dodoma(maelezo zaidi picha na sehemu husika Dm nitakupa)