Nauza hiki chombo cha usafiri

Nauza hiki chombo cha usafiri

Uhuru24

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2015
Posts
4,505
Reaction score
5,094
TUNAUZA HIKI CHOMBO, NI MPYA KABISA INASIKU YA PILI TOKEA KIINGIE JIJIN DASLAM

0715 378899

0687558785

2.3milView attachment 1834389
IMG-20210629-WA0015.jpg
View attachment 1834390View attachment 1834392View attachment 1834391
 
Ana mbwembwe[emoji23][emoji23][emoji23]Eti chombo imetua dar leo ni sku ya pili, utadhani aliagiza kutoka nje.
[emoji2][emoji1787][emoji2][emoji1787][emoji2][emoji1787]
 
Ya kuchaji haina odometer? Hebu toa maelezo ya kushiba mkuu, mbona unajibu nusu nusu na kwa mkato?
mkuu hata hakijatembelewa, alie letewa kasema hakuwezi kwan nitakuja kusababishia ajari, hivyo kaamua kukiuza
 
Hakitoi sauti hiki kinaweza kukugonga na ukashindwa kulaumu
 
Ila kama mfuko unasoma poa hiki unamnunulia mwanao cha kwendea shule. Yaani unakua umemrahisishia hadi kuscore
 
Ndio bei yake mkuu. Unachaji kinatembea Km 55-60 kabla hakijaisha uchaji tena.

Hivyo hakitumii mafuta? Yaani petrol ⛽️ au diesel?

Ni kuchaji tuu na kuondoka..!???

Naweza kuendesha na leseni hii hii nnayoendeshea uber au nitahitaji leseni / class nyingine?
 
Ila kama mfuko unasoma poa hiki unamnunulia mwanao cha kwendea shule. Yaani unakua umemrahisishia hadi kuscore

Mi nakihitaji kwa mizunguko ya Daslam. Sema ntaweka kisanduku kama vile vya kwenye pikipiki za matrafiki, si ntarujusiwa?
Ili humo niwe naweka vitu vyangu vidogo vidogo.

Nimejikuta napata Mahaba nacho ghafla....🥰🥰.
 
Hivyo hakitumii mafuta? Yaani petrol ⛽️ au diesel?

Ni kuchaji tuu na kuondoka..!???

Naweza kuendesha na leseni hii hii nnayoendeshea uber au nitahitaji leseni / class nyingine?
Yes unachaji tu nakuondoka, havina engine ya mafuta kabisa ,,kwa sasa havina hata usajili ila kwa kujihami ukiwa na leseni yenye daraja A ...umemaliza.
 
Mi nakihitaji kwa mizunguko ya Daslam. Sema ntaweka kisanduku kama vile vya kwenye pikipiki za matrafiki, si ntarujusiwa?
Ili humo niwe naweka vitu vyangu vidogo vidogo.

Nimejikuta napata Mahaba nacho ghafla....🥰🥰.
Kuna vingine vipana zaidi hapo pa kuwekea miguu wanawekea mpaka kuni. Kama kuni inaruhusiwa sidhani kama wewe kuweka kisanduku utakatazwa.

Pia nafikiri havina maswala ya kodi au leseni. Vinahesabiwa baiskeli.
 
Hivyo hakitumii mafuta? Yaani petrol ⛽️ au diesel?

Ni kuchaji tuu na kuondoka..!???

Naweza kuendesha na leseni hii hii nnayoendeshea uber au nitahitaji leseni / class nyingine?
Ni kuchaji na kuondoka mkuu. Hakihitaji leseni wala bima. Unatembea tu.
Kizuri kwa town trips au wikiend flan hivi kubarizi upepo.
 
Back
Top Bottom