Fundi (Daktari) wa magari

Fundi (Daktari) wa magari

Abeid fundi magari

New Member
Joined
Jun 26, 2021
Posts
2
Reaction score
1
Tunatengeneza magari aina zote na kwa uaminifu wa hali ya juu kabisa,tunapatikana Mwenge na popote tunafika ndani ya Tanzania.

Kwa mawasiliano zaidi piga namba 0672513370.

IMG_20210316_183053_491.jpg
IMG_20210217_152940_6.jpg
IMG_20210303_164507_2.jpg
IMG_20201219_180455_9.jpg
 
Toa guu lako kwenye gari yangu (jokes)🤣

Asante mkuu tumekaribia, menaulizia engine complete ya 4e fe ntaipata kwa bei gani
 
Kwahiyo huo ndio uthibitisho kuwa wewe ni fundi sio??
 
Diagnosis unafanya shiling ngap?

Nina gari pickup liteace ya diesel juzi dogo nilimpa akaweka mafuta ya kidebe badae akaanza kusikia muungurumo kama wa trekta na taa ya check engine ikawaka. Akanipgia simu ikabidi nimuite nilipo tukamwaga mafuta yote tukanda petrol station tukaweka mafuta nusu tank tukanunua diesel treatment lakini tatzo bado lipo.

Nipe mwangozo cha kufanya
 
Tupe CV yako.Una elimu ya kiwango gani katika ujuzi wa magari?
 
Ni mtaalamu wa kutengeneza magari aina zote,napatikana Mwenge-Dar es salaam na pia naweza kufika popote ulipo.Kwa mawasiliano zaidi nipigie simu namba hizi hapa [emoji117][emoji117]0672513370
IMG_20210507_102923_2.jpg
IMG_20210629_153409_1.jpg
IMG_20201219_150948_0.jpg
IMG_20210426_122022_2.jpg
IMG_20210326_104303_8.jpg
 
Ni mtaalamu wa kutengeneza magari aina zote,napatikana Mwenge-Dar es salaam na pia naweza kufika popote ulipo.Kwa mawasiliano zaidi nipigie simu namba hizi hapa [emoji117][emoji117]0672513370View attachment 1835391View attachment 1835392View attachment 1835396View attachment 1835399View attachment 1835400
Umebobea kwenye Nini mkuu, maana hata kuziba pancha wakati unaziba unafungua boneti ukapiga picha napo ni fundi pia,

Sema ni sehemu gani katika Gari umebobea
 
We jamaa c juzi ulianzisha uzi ukaulizwa maswali ukakimbia leo umeanzisha uzi mwingine
 
Back
Top Bottom