Wadau Salaam!
Inaitajika Frame ya kuweka duka la vitu vya ndani (chakula na groceries) kwa jumla na lejareja, liwepo sehemu yoyote Dar yenye mkusanyiko na mzunguko mkubwa wa watu.
Mwenye...
Nahitaji chumba na sebule ikiwezekana jiko na choo ndani maeneo karibu na morogoro road kuanzia Magomen mpaka kimara nyumba iwe nzuri ikiwezekana kuwe na geti sihitaji dalali madalali...
Imetumika miezi mitano hivi. Ni nzima kabisa, bado inafanya kazi vizuri ktk ubora wake kama ilivyonunuliwa. Upepo safi kabisa na inarotate vizuri tu. Unaweza kuikagua ukiridhika tunafanya...
je una bidhaa ambayo unataka kuiuza?
karibu tukuuzie bidhaa yako iliyotumika ,
jiunge na group letu la whatsapp
https://chat.whatsapp.com/FVBnU70HjaE2pyVxB7nTth
Hello!
Je, wewe ni mfanyabiashara na unapata shida katika kusafirisha bidhaa zako kwenda sehemu moja kwenda nyingine au kuweka record ya mauzo yake pata suluhisho kwa kutengenezewa Vitabu...
Hizi mbegu pamoja na majani,magome na mizizi ya mti wa Mlonge vimekuwa na faida nyingi za kiafya kwa watu.
Sasa kuna eneo moja huko mikoani nilikoenda kutembelea ndugu zangu nimekuta hiyo...
Habari zenu wana jamvi.
Natarajia kuanzisha biashara ya muziki kwa maana ya kukodisha muziki. Lengo la kufungua uzi huu ni kupata ushauri juu ya vifaa na taratibu zingine.
Kwa kifupi ndio nataka...
Wakuu hongereni kwa kukubali tozo zote
Mi hitaji langu nahitaji jezi kwa bei ya jumla zle jezi ambazo znauzwa kkoo na machinga elfu tano tano ndo nazitaka hizo ila iwe kwa bei ya jumla
Nahitaji...
Jina:Shabani Mnkai.
Makazi: Dodoma,Tanzania.
Kata:Nkuhungu.
Mtaa:Mtube
Fani: Mtaalamu wa masuala ya Ushauri Nasaha na Unasihi (Profession in Guidance and Counselling.
Karibu nikuhudumie kwa...
Ndugu yangu anauza kabati la aluminium, alikua anauza nguo
Lipo magomeni usalama
Bei laki 2
Unaweza kuuzia nguo au stationery au dawa nk nk
Ukitaka njoo pm nikupe namba yake
Nyumba inauzwa ina vyumba vitano,gharama ni Tsh.19,000,000/= , ipo Pugu Kigogo Fresh/Pugu Station . Ina Sebule ,master moja, choo cha ndani ,vyumba vitatu vya kawaida.Karibuni maongezi ya bei...
Tunatoa huduma za Usafirishaji wa Mizigo kutoka Dar es Salaam kwenda Mikoa yote Tanzania Karibuni Sana kwa Huduma Bora na za Haraka za Usafirishaji wa Mizigo.
Tunapatikana
Kiungani&Lumumba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.