Nahitaji jezi za msimu huu

Nahitaji jezi za msimu huu

EL ELYON

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2013
Posts
1,675
Reaction score
2,116
Wakuu hongereni kwa kukubali tozo zote

Mi hitaji langu nahitaji jezi kwa bei ya jumla zle jezi ambazo znauzwa kkoo na machinga elfu tano tano ndo nazitaka hizo ila iwe kwa bei ya jumla

Nahitaji za juu tu yaani tshirt za msimu huu.

0629 945 110
 
Kuna hawa wachina wako pale buguruni stend ya zamani ya muhimbili,

Wanazifyatua kwa 3,500 kwa catoni moja ya PC 100
IMG_20210823_152102.jpg
 
Ndugu nadhan wakati mwngn hata kukaa kimya tu ni hekima ujuaji ujuaji dunia ya leo utakuwa shoga ni vema ukawa mskilizaji zaidi kuliko msemaji
Nmekujibu Kama ulivyouliza, Sasa matusi ya nini
 
Wakuu hongereni kwa kukubali tozo zote

Mi hitaji langu nahitaji jezi kwa bei ya jumla zle jezi ambazo znauzwa kkoo na machinga elfu tano tano ndo nazitaka hizo ila iwe kwa bei ya jumla

Nahitaji za juu tu yaani tshirt za msimu huu.

0629 945 110
Mkuu naweka kambi hapa na mimi nijue,hili gepu lina soko pana sana hasa mikoani huko.
 
Hawa jamaa hashindwagi na kitu, wanaweza hata kukutolea IPhone 12 promax kwa 100k.

Ni wewe tu na hela yàko, wao hawaachi hela [emoji23][emoji23][emoji23]
Mtoa mada nmemuelekeza kwa hao wachina,

Nashangaa kaanza kunirushia matusi.

Kama anachuki na wachina Bora TU Angekaa kimya, Ukitaka bidhaa ya Bei rahisi mchina hakwepeki
 
Mtoa mada nmemuelekeza kwa hao wachina,

Nashangaa kaanza kunirushia matusi.

Kama anachuki na wachina Bora TU Angekaa kimya, Ukitaka bidhaa ya Bei rahisi mchina hakwepeki
Sure mkuu, mchina hakwepeki kwa sisi wstafuta rizk ambayo ni hand to mouth.

Vipi hadi sasa bado Wana operate hiyo biashara Yao? Maana hapo kwa picha ni kama wapo chini ya ulinz hivi.
 
Back
Top Bottom