Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari Natafuta Gari VW Touareg., Budget Yangu Ni Tsh Mil 20. Kwa aliye nayo anaweza kuniPM, Nikipendezwa nayo tufanye biashara. Asante
2 Reactions
53 Replies
5K Views
Mashamba Yanauzwa Mkoani Njombe zaidi ya ekari 5000 kwa wale wanaopenda kulima Parachichi basi mashamba haya yanafaa sana Barabara ipo mpaka shambani maji yapo mpaka shambani wahi sasa msimu...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Ni forehead, upande wa kulia. Used nje ya nchi, nilinunua kuweka kwenye gari lakini mambo yamenibana nahitaji pesa sasa. Nilinunua 150,000/= Ilala, nitajie ofa yako niisikilize. Location DAR...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kwa Mahitaji ya LOGO, WEBSITE, MOTION GRAPHICS, POSTERS, NA GRAPHICS DESIGN mbalimbali kwaajli ya kampuni, taasisi au Biashara yako karibu sana tuwasiliane kwa WhatsApp/Call 0627808683 Tupo...
1 Reactions
0 Replies
906 Views
Paka wenye umri wa miezi miwili ambao ni wa asili na wakamata panya mahiri wanauzwa. Wako watatu. Kila mmoja ni shilingi elfu arobaini. Wanapatikana Survey hapa Dar es Salaam. Wale wote...
4 Reactions
36 Replies
3K Views
Nauza viatu ngoziii jumla 8000 na leja leja 10000 napatikana kibaha pwani
1 Reactions
3 Replies
2K Views
SOLD SOLD SOLD Ni kampuni ya GEC Imetumika miaka mitatu Gas ipo Taa ya ndani inawaka. Location Mbezi mwisho barabara ya Kinyerezi. BEI ni 150,000/= NJOO UIKAGUE THEN TUFANYE BIASHARA. 0687603307
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Nyumba inapangishwa 150,000 sebule kubwa chumba na choo ndani kodi miezi 6 ndani ya uzio ipo kigamboni mikadi kutoka main road mpk nyumba ilipo ni meter 70 ipo pembezoni mwa beach ya mikadi
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Pata kiwanja 10 kwa 10 kwa shilingi milioni mbili tu eneo la mbezi mzalendo. Usafiri wa bajaji toka mbezi stend ni 1000 tu. Eneo ni kubwa hivyo unakatiwa kutokana na ukubwa unaotaka na hela...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Kama heading inavyojitanabaisha ninatafuta simu hii inayoitwa Nokia 1680c ambayo ilitoka mwaka 2008.Niliwahi kutumia simu hii kuanzia 2009 mpaka 2013. Ilikuwa ni simu nzuri kimuonekano, kitendaji...
3 Reactions
59 Replies
6K Views
Ninahitaji mashine ya kutengenezea tofali blocks inchi 5 na 6 Wengi niliowauliza ni million mbili na nusu kwa inayotumia umeme na million tatu na nusu ya diesel JE SIDO HUFANYA BEI GANI?
0 Reactions
22 Replies
9K Views
Toyota Rav4 Old Model Model 1998 Engine 3S Cc 1990 Kilometer 82095 Colour Silver New Tyres & Rims Price 14.5ML simu 0677 818283
4 Reactions
187 Replies
23K Views
Nataka kununua binocular jamani, namaanisha darubini za kuona mbali. Nijuilisheni bei zake na zinako patikana please!
0 Reactions
0 Replies
2K Views
BILL COUNTER MACHINE* MASHINE YA KUHESABIA HELA 🔺Usipoteze muda mwingi kuhesabu pesa, Wateja wengi wanapenda fast & excellent services 🔺Upgrade ofisi yako iwe ya kisasa zaidi kwa kujipatia hii...
1 Reactions
44 Replies
7K Views
Naitaji nyumba ya kupanga maeneo ya Mabwepande Bunju B. iwe stand alone na ndani ya fance. Pia naitaki viwanja vya kununua(vilivyopimwa) maeneo ya Magwepande na Bunju B. Kama una offer naomba...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wakuu Jipatie Nokia 105 Original kwa bei ya ofa ya Shillingi 35,000 (elfu thelathini na tano tu). Rangi zilizopo ni black na blue. Free delivery kwa DSM Mikoani tunatuma kwa gharama ya...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Natafuta sehemu wanayouza nyuzi zile za kutengenezea mikanda ya gypsum kwa bei nafuu
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hi JF members Eneo kubwa na zuri sana kwa ajili ya sheli, au kujenga big supermarkets or mabweni ya shule, lipo barabarani, na eneo la barabara limeachwa la kutosha kabisa Size: 73 × 68 meters...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari jamani natafuta muuzaji wa jumla wa vifaa vya simu kama vile;vioomaiki,betri,chaja,kava awepo dar au moro namba namba hzo kwenye bango.
1 Reactions
1 Replies
761 Views
Back
Top Bottom