Imebaki hii meza ya chakula ni nzuri sana, ina viti sita, meza bado ni mpya kabisa, katikati ina kioo.
Bei ni laki sita. Ipo Nyakato Mecco
Mawasiliano 0622723082.
TOYOTA KLUGER
Gari ni yangu mwenyewe haina shida yoyote
CC 2360
Millage 92,000km - Original
Safari Leather Seat
New tyres
Sports reams
18.5m-inapungua
call/Watsapp 0715140001
Nahama kwenye hili jiji la Mwanza
Hivyo nitakuachia kila kitu cha ndani kwangu nilipokuwa nimepanga.... nyumba ina vyumba viwili Master moja na kawaida moja pia public toilet, ina jiko, sitting...
Shamba linauzwa lenye ukubwa wa ekali 350.
lipo mkoa wa Njombe tarafa ya Lupembe Kijiji Cha lwanzali namiundombinu kama maji yapo yakutosha na linafaa kwa kilimo chochote like.kwa mawasiliano...
Kiwanja kinauzwa. (HAKINA UDALALI)
Mahali: Bagamoyo vijijini
Kijiji cha WAMI STATION (MATIPWILI)
Ukubwa: Robo heka na ni TAMBARARE
Kipo kando ya barabara itakayojengwa ya EAST AFRICA...
Mashine hii Ni kifaa kinachotumika kwa ajili ya kuizalisha umeme kwa ajili ya fance ya umeme.
MATUMIZI.
1.Kinafungwa katika makazi ya watu kwenye fance ya umeme kwa ajili ya ulinzi wa kuzuia...
Ninauza ng’ombe wa maziwa ni mitamba wenye mimba kubwa wawili, wapo chanika, Dar es salaam.
Bei: 2,700,000 ( wote wawili)
Contact: wasap/call/sms; 0713908963
Nauza:
Smart Speakers (Amazon Echo na Google Home Mini) mpya sealed each Tsh 150,000/=
Electric Toothbrush Xiaomi Tsh 50,000/=
Smartwatch za kuanzia Elfu 40 hadi Laki 2.
Ubungo...
Mtanisamehe siko na picha muda huu, lkn simu taja hapo juu yenye sifa zifuatazo:
Display 6.1"
Nano dual sim cards.
Resolution 1080 x 2400 pixels, 20:9
Android versio 10,upgradable to 11, UI 3.1...
Habari wanajamvi,
leo nawaletea banda la biashara .
Banda hili sifa yake kuu ni movable, lina matairi! so unbaweza ukawa unaligogeza kwenye maeneo unayoyataka
lina jiko la Gas kama unavyoona...
Mitsubishi Canter
Engine Code: 4D 33
Gari ipo katika hali nzuri sana, na kwasasa haifanyi kazi yeyote (imepaki) inapatikana Posta, Dar es salaam.
Asking price: 22M (maongezi yapo)
Kwa yeyote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.