Transistor
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 1,061
- 1,640
Mashine hii Ni kifaa kinachotumika kwa ajili ya kuizalisha umeme kwa ajili ya fance ya umeme.
MATUMIZI.
1.Kinafungwa katika makazi ya watu kwenye fance ya umeme kwa ajili ya ulinzi wa kuzuia watu wasipite katika fance hiyo kuingia ndani.
2.Kinafungwa katika fance za mashambani kuzuia wanyama wasiingie eneo la mazao.
UFANYAJI KAZI.
1.Kinazalisha kiasi Cha volt 9000 kwa ajili ya kutengeneza sock (mstuko) wa umeme.
Kiasi hiki Cha umeme kinapoingia katika mwili wa mnyama au binadamu kinasababisha misuli ya mwili,*isipo kuwa ya moyo* Kustuka ama kulaza na kusababisha maumivu ya mwili.
Hali hi husababisha kero kwa kiumbe husika hivyo kuonedoka eneo hilo.
OUTPUT YA KIFAA.
Voltage....9000V
Current......123mA
NISHATI YA KIFAA.
1.Kifaa kinaweza kutumia umeme wa kawaida,lakini pia kina uwezo wa kutunza umeme masaa 24,Kama umeme we kawaida ukikatika.
2.Kifaa kina weza kutumia mfumo wa solar Kama kikifungwa mashambani au maeneo yasio na umeme.
UFUNGAJI.
1. Kifaa kinaweza kufungwa kwa kutumia nondo moja au mbili kuzunguka nyumba zima,kwa ambao wanaogopa kuweka waya ambazo Ni rahisi kukatwa na vibaka.
2.Pia kifaa kinaweza kufungwa kwa waya za kawaida za fance ya umeme za kichina.
GHARAMA.
1.Mashine na power bank yake Ni Tsh 700,000/-
2.Mashine na mfumo wake wa solar Ni Tsh 1,200,000/-
GHARAMA ZA UJENZI WA FANCE
1.Kwa wenye ukuta ambao una fance ya ukuta na drill za chuma na wanataka kuweka mfumo wa nondo(10mm),na siyo waya kwa kila mita moja Ni Tsh 20,000/-
2.Kwa wenye ukuta ambao una fance ya ukuta wa matofali matupu bila drill,na wanataka kuweka mfumo wa nondo(10mm),na siyo waya kwa kila mita moja Ni Tsh 30,000/-
2.Kwa atakayetaka kuweka waya za kawaida za fance ya mchina kila mita moja Ni Tsh 25,000/- haijalishi ukuta Kama una drill au hauna.
Call/watsup 0629068815