balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 16,698
- 15,434
Nina gari yangu Toyota funcargo ilipata ajali imepondeka nataka kuliuza. Mwenye kuhitaji karibu inbox.
Picha tafadhaliNina gari yangu Toyota funcargo ilipata ajali imepondeka nataka kuliuza.Mwenye kuhitaji karibu inbox.
Hebu weka picha na beiNina gari yangu Toyota funcargo ilipata ajali imepondeka nataka kuliuza.Mwenye kuhitaji karibu inbox.
Picha hapa sina, gari ipo Gogoni Kibamba DSM Gereji pale. Labda nikaipige baadae ila bei ni maelewano kwa atakayehitaji.
pm yako yenyewe umeifunga gari unaiuzaje?Nina gari yangu Toyota funcargo ilipata ajali imepondeka nataka kuliuza. Mwenye kuhitaji karibu inbox.
Pm iko wazi mkuu, nichek 0747464239pm yako yenyewe umeifunga gari unaiuzaje?
engine na gear box bado vizima?kama vizima tufanye biashara na ni namba gan