Habari njema kwa wateja wetu wa @unique_aircargo SASA UNAWEZA KUSAFIRISHA MZIGO WAKO KUTOKA CHINA KUJA TANZANIA KWA SIKU MOJA TU[emoji4][emoji6].
Batch ya kwanza ndo inaanza week hii na mwisho...
Anajulika kama Mtanzania wa kwanza kusoma Stanford na Harvard. Al maarufu kama mtanzania aliyekataa mshahara wa zaidi ya 400 ml. Ni yule yule CEO wa Kampuni ya levels za kimataifa --NALA. Ameweza...
Kama kichwa kinavojieleza mm naishi hapa njombe ninaitaji simu used anaeuza please anatafute kwa namba hii 0620860951 shart awe mtu Wa njombe.
Natanguliza shukrani
Sisi wataalam katika kuandaa na kuandika maandiko miradi, maandiko ya kuomba ruzuku/Grants, na pia kukuwezesha kupata volunteers/interns kutoka nje (USA na Canada). Karibu tuzungumze! Pia...
Habari zenu wandugu?
Ninazo tiles zitokanazo na mawe halisi ya Tanga stone (slate stone) yanapatikana kwa kiasi chochote na ninauza kwa squre meter.
Vile vile ninapokea oder kwa design (cutting...
Habari ndugu, nauza kiwanja kipo maeneo ya mji mpya kimara B dar es salaam maarufu "kwa senga"
Kiwanja hakiko square hivyo urefu na upana hauko sawa . Kwa urefu upande mmoja ni 63ft na mwingine ni...
Wakuu Habari.
Kama kichwa cha habari kinavyoonekana, bajeti yangu ni milion 22
Na naitaji Gari aina ya Fuso
Kwa yeyote anaeuza basi anidm tufanye biashara
NB: Itapendeza kama biashara itatoka...
Nauza hii, (mnyama) naitumia mwenyewe
1G kavu engine.... Haijafunguliwa
Full AC
Clean na haina uchakavu ndani
New bettry
Matairi mazima kabisa na spea yake
Automatic door locking
Mziki mnene...
Nimejaribu kuweka baadhi ya vitu vichache ambavyo huenda watu wanavifanya na vinaleta shida. Natambua kwamba vipo vingi ila nimeandika vichache tu. Kama kuna mtu anaweza kuongezea, karibu.
Okay...
Usiharibu gari yako kwa Spacer nitafute kwanamba +255742662669 kwa sport shock-ups zasaizi yauvungu unaouhitaji katika gari yako.Kwa spare nyingine za Magari pia karibu Dukani Mwananyamala Komakoma.
Habari wakuu, Nahitaji kupata chumba cha kupanga kwaajili ya dogo amechaguliwa DIT hatutaki awehostel, kwa yeyote mwenye kuwezesha upatikanaji wa chumba tafadhari anifahamishe
Kichwa tajwa hapo juu chajieleza kwa mwenye kuhitaji mfuko wa tani moja kwa ajili ya kuhifadhia vitu vyako mazao , kubebea mizigo mbali mbali Kama mitumba na bidhaa nyingi kwa wakati mmoja usisite...
Shule ya St Jude itakuwa na mnada wa kimya kwa ajili ya kuuza vitu zaidi ya 6,000, vipya na vilivyotumika! Hii si ya kukosa.
Tarehe: Ijumaa Septemba 17
Muda wa kuangalia: Saa 4 hadi 4:30 asubuhi...
Rola moja ya senyenge ina urefu wa mita 600,na senyenge ina unene wa milimita1.6.
Senyenge hizi hazishiki kutu(galvanized).
Inafaa kwe fensi ya nyumba,maboma ya mifugo,shamba,nk.
Bei kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.