Wadau salaam,
Linaitajika Contauner la FT 20 au 40 kwajairi ya bishara ya duka la jumla/hardware.
Naomba offer inbox.
Ahsante sana Mkuu, nitazingatia ushauri huu.Mkuu mnunuaji wa Container ninakushauri kuchukua tahadhari ya hali ya juu hasa unaponunua hizo containers mikononi mwa mtu. Hakikisha mauziano yanasimamiwa na wakili na hakikisha muuzaji ana ORIGINAL OWNERSHIP DOCUMENTS utakuja kunishukuru baadae.