Kiwanja kinauzwa Dodoma mjini Chinangali West

Kiwanja kinauzwa Dodoma mjini Chinangali West

Ukubwa mita za mraba 608...
Kimepimwa kina hati.Huduma za jamii zipo na eneo limejengeka
Mawasiliano ..
Bei maelewano
Biashara za kizamani sana hizo!!!yaani kana kwamba mnunuzi ndio mwenyeshida sana, hivyo ana bembeleza kupata hiyo bidhaa!!!
 
Back
Top Bottom