Uwekaji wa umeme wa kisasa chini ya UVIMO

frabel

Member
Joined
Mar 13, 2021
Posts
96
Reaction score
60
Amani kwenu.

Uvimo Maktaba

MFUMO WA UMEME WA NJIA MBILI NA UMEME WA SOLA NA TANESCO KUUNGANISHWA

Habari wadau, maktaba yetu inaaamini sote hatujambo.

Uvimo tunao uwezo was kuweka mifumo ya umeme wa sola na kuiunganisha katka switch moja.

Kumbuka , umeme wa Sola na umeme wa Tanesco kika mfumo unaweza kutumia njia mbili kwa wakati wake, pili sisi Uvimo tunaweza kuiunganisha mifumo yote kwa kutumia swichi moja bila kuacha nyaya zikining'inia ovyo ovyo.

Yote ni ubunifu wa Uvimo kukupungunzia usumbufu wakati wa matumizi.

Inatumikaje baada ya kuiunganisha?

Tukutane live 12-Dec--2021 saa mbili usiku hapahapa jamvini katka angazio chini ya Uvimo maktaba .

Uvimo Maktaba

Angazio mahususi juu ya uwekaji wa umeme na uunganishaji wa mifumo ya sola na Tanesco.

Mambo mengi yanaendelea kutokea na kuvumbuliwa, hii yote ni kumrahishia binadam kazi zake,.

Leo tutaangazia two way systems na muunganiko wa sola power na electric power.

Mfumo wa umeme wa two way , unamwezesha mtumiaji kuzima na kuwasha taa za nyumba nzima au baadhi ya maeneo akiwa katika eneo moja.

Mfano, kuzima/kuwasha taa zote au baadhi ukiwa kitandani ,
Unaweza kuzima au kuwasha taa za nje ukiwa chumban, hii inaweza kutumika kama usalama wakati wa matukio ya kihalifu.

2-Kuunganisha mifumo ya Tanesco na sola.

Kama una sola na umeme wa kawaida, hauhitaji kuweka minyaya ya sola nje, au kuingia gharama za kuweka njia njia kwa kila mfumo.

Uvimo tayari tumebuni njia Bora na salama ya kuiunganisha mifumo yote katika swichi moja.

Endapo umeme wa kawaida umekatika, unacho fanya niku kuendelea kutumia sola kwa kufanya hatua moja tu baada hapo hali inarudi kawaida.

Kumbuka, umeme wa kawaida ukirudi, hauwezi jiunga hadi ufanye zoezi moja.

Maktaba inakukumbusha kuwa , nyumba ni finishing, na uwekaji wa njia za umeme awam ya kwanza ni mhim sana katika ubora na usafi.

Wasiliana nasi kwa ,

0753927572 - What'sapp
0629361896
 
Good idea niliona iringa house flan ya mzungu ina system hiyo n good sana
 
Mfumo wa solar ni mzuri sana lakini nilichobaini ni kuwa betri zake hazidumu. Utakuwa na kazi ya kununua betri kila baada ya miaka miwili au mitatu. Kwa maoni yangu mfumo wa umeme wa dharura ni bora ukawa generator
 
Mzee wa UVIMO kwa uzoefu wako betri gani la solar likovizuri zaidi?
 
Mkuu wa UVIMO njoo huku tukuulize maswali
 
Polen, sikuwa hewani muda sana, kazi zetu za polin wakat mwingine.

Karibuni
 
Mfumo wa solar ni mzuri sana lakini nilichobaini ni kuwa betri zake hazidumu. Utakuwa na kazi ya kununua betri kila baada ya miaka miwili au mitatu. Kwa maoni yangu mfumo wa umeme wa dharura ni bora ukawa generator
Betri za minara ni nzuri kabisa.
Hudum kama umepata iliyotoka mnarani moja kwa moja utatumia kwa muda sana.
 
Amani kwenu.

Uvimo Maktaba

MFUMO WA UMEME WA NJIA MBILI NA UMEME WA SOLA NA TANESCO KUUNGANISHWA

Habari wadau, maktaba yetu inaaamini sote hatujambo.

Uvimo tunao uwezo was kuweka mifumo ya umeme wa sola na kuiunganisha katka switch moja.

Kumbuka , umeme wa Sola na umeme wa Tanesco kika mfumo unaweza kutumia njia mbili kwa wakati wake, pili sisi Uvimo tunaweza kuiunganisha mifumo yote kwa kutumia swichi moja bila kuacha nyaya zikining'inia ovyo ovyo.

Yote ni ubunifu wa Uvimo kukupungunzia usumbufu wakati wa matumizi.

Inatumikaje baada ya kuiunganisha?

Tukutane live 12-Dec--2021 saa mbili usiku hapahapa jamvini katka angazio chini ya Uvimo maktaba .

Uvimo Maktaba

Angazio mahususi juu ya uwekaji wa umeme na uunganishaji wa mifumo ya sola na Tanesco.

Mambo mengi yanaendelea kutokea na kuvumbuliwa, hii yote ni kumrahishia binadam kazi zake,.

Leo tutaangazia two way systems na muunganiko wa sola power na electric power.

Mfumo wa umeme wa two way , unamwezesha mtumiaji kuzima na kuwasha taa za nyumba nzima au baadhi ya maeneo akiwa katika eneo moja.

Mfano, kuzima/kuwasha taa zote au baadhi ukiwa kitandani ,
Unaweza kuzima au kuwasha taa za nje ukiwa chumban, hii inaweza kutumika kama usalama wakati wa matukio ya kihalifu.

2-Kuunganisha mifumo ya Tanesco na sola.

Kama una sola na umeme wa kawaida, hauhitaji kuweka minyaya ya sola nje, au kuingia gharama za kuweka njia njia kwa kila mfumo.

Uvimo tayari tumebuni njia Bora na salama ya kuiunganisha mifumo yote katika swichi moja.

Endapo umeme wa kawaida umekatika, unacho fanya niku kuendelea kutumia sola kwa kufanya hatua moja tu baada hapo hali inarudi kawaida.

Kumbuka, umeme wa kawaida ukirudi, hauwezi jiunga hadi ufanye zoezi moja.

Maktaba inakukumbusha kuwa , nyumba ni finishing, na uwekaji wa njia za umeme awam ya kwanza ni mhim sana katika ubora na usafi.

Wasiliana nasi kwa ,

0753927572 - What'sapp
0629361896
Nimeipenda hii system
 
Back
Top Bottom