Bajaji inauzwa kwa Ofa ya kufungia Mwaka 2021, kwa wajasiriamali au watu wenye ndoto za kupata hesabu ya 20k au 15k kutegemea na mkoa uliopo hii ni kwa ajili yenu,
Bajaji ni nzima haina shida...
Habari ndugu wana jukwaa,
Wakuu naombeni msaada wa bei za hzi spare za mtumba (OG). Aina ya gari ni Toyota ist (2006) kwa anaefaham bei zake, kuna ndugu yangu kapata majanga sasa fundi kamwambia...
Nataka nitafute masoko ya Vanilla nje ya mipaka ila kabla ya yote ningependa kujua bei ya Vanilla ni TZS ngapi kwa sasa hasa maeno inapotoka iwe Kilimanjaro, Bukoba ama Iringa.
Naomba anayejua...
Je unajua tank lako la kuhifadhi maji safi na salama kwa matumizi mbali mbali linabidi kusafishwa kila baada ya mwezi
Kwa sababu pindi unapohifadhi maji mda mrefu bila kulisafisha tank huifadhi...
Set mpya ya kisasa ya vifaa vya kupambia cake
Set ina vitu vyote vya kupambia cake.
Inakuja na vitu vingi kama sufuria 4 za cake
Meza ya kupambia
Nozzle 48
Kisu cha kukatia
Mifuko ya...
Habari wandugu,
Nauza sofa set yenye jumla ya siti saba (7). Muundo wa sofa ni (Love seat) ambayo ni siti ya watu wawili. L-shape ambayo inaunganisha vipande vitatu. Kipande kidogo cha siti ya...
Habari zenu,
Drone Online Ads tukiwa na uzoefu wa zaidi ya miaka 20 katika ujasiriamali Tanzania, na hasa jiji la Dar ,sasa tumeanza huduma ya kusaidia wajasiriamali kukua katika maeneo...
kama kichwa cha uzi kinavyosema, Gari ipo bandarini mwenye nayo kashindwa lipia. wajapan wanataka 5000USD wakupe Harrier yako
details zake kwa haraka ni ina mileage ya 241,499 km engine capacity...
Nauza EXTERNAL HDD 750GB used but but in Mint Condition.
Haina tatizo,inaweza kutumika pia kama internal
70,000/=
location:Dar-es-salaam
wa.me.255716889489
Habari wakuu,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nahitaji hii machine, iwe halali sio ya wizi, iwe ya kutumia umeme au mafuta. Bajeti yangu ni 700K. kwa mwenye nayo karibu tufanye biashara...
Habari.
Nauza simu ya Samsung A30 toleo la mwaka huu, simu ina miezi mitano tu toka inunuliwe, ipo katika hali nzuri ila tu Screen Protector ndio imecrake..
SPECS.
●4GB RAM
●64HDD
●Laini Mbili
●MP...
Habari zenu waungwana,
Nahitaji cover na protector ya sony Xperia 5 (2019)
Nipo Zanzibar, nimejitahidi Kwa huku nimekosa.
Kwa yeyote ambaye anauza tafadhari tiwasiliane Kwa 0716 403 314.
Asante.
Shamba la miti ya mbao Aina ya pines yenye muda wa miaka 7 na ukubwa wa ekari 200 linauzwa,bei Kwa kila ekari ni 1.8milion. Shamba lipo mpakani mwa njombe na songea,kijiji cha wino. Barabara...
Habari wana jamvi,
Ninauza mbwa aina ya GSD PURE kwa bei rafiki kabisa ya kufungia mwaka.
Tsh 900,000 tu. Ana mwaka mmoja na chanjo zote muhimu kachomwa.
Karibuni sana.
Dar es Salaam- Kigamboni.
Nauza baiskeli ya watoto.
Haina tatizo lolote.
Baiskeli ni mpya.
Haijatumika sana.
Ipo tu ndani muda wote.
Inafaa kuendeshwa na watoto umri wa miaka 4 mpaka 8.
Ukihitaji tairi za pembeni...