Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Storage 64gb Battery health 95% Touch id inafanya kazi Ina cracks kidogo kwenye back glass ila imewekewa back glass protector Bei 400000 tu Kama upo dar au kibaha nakuletea ulipo nina shida na...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Habari, Nahitaji maharage ya njano yale ya mviringo (manene) kuanzia TANI 2-5 (kwa wiki). Pia nahitaji Mahindi mazito(masafi) kuanzia TANI 5-10(kwa wiki) kwa ajili ya kuchakata unga wa sembe...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu Niko na Binamu yangu anasoma shule ya day Ila Kuna changamoto ya umbali kutoka nyumbani Hadi shule ni kama kilometa 3½ - 4. Mwenye Baiskeli nzuri used yenye good condition nistue
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Ndg yangu pengine una paa lililo ezekwa kwa vigae vya Mbezi tiles au Nabaki Africa, limechafuka na hujui ufanye nini. Sasa ninalo Suluhisho la tatizo lako. Huna haja ya kupaka rangi kigae chako...
4 Reactions
24 Replies
4K Views
Pikipiki ni King Lion Cc 150 Gia 5 ametembea mwaka mmoja Hana shida yoyote njoo na hela yako tu Engine nzima kabisa 1,800,000 Nipo Nae machinjioni hapa 0713096076
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Iphone xs True tone [emoji736] Face id [emoji736] Betry 83 GB 256 @750,000tsh Haina scrach wala shida yyte Tupigie 0744551655
0 Reactions
0 Replies
434 Views
Je kufua kwako ni kero basi rahisisha maisha kwa kuokoa muda wa kufua ishi kidjitali kwa kutumia mashine ya kufulia Brand:Panasonic Model Name: NA-F70G6 Condition: used Color:Silver Washing...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Ndugu zangu habari, mimi nipo mbele yenu leo kuliuza shamba zuri la mikorosho lililopo wilaya ya Manyoni lenye ukubwa wa ekari 13. Shamba hili lipo katika mradi mkubwa sana wa korosho hapa...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Nauza gari yangu Toyota verossa iko kwenye hali nzuri Year:2002 Engine cc:1980 Colour:silver Insurance:comprehensive New tires Location:Mbezi beach Full AC Contact:+255714787795(owner)
0 Reactions
2 Replies
787 Views
nauza bulb camera kwa bei rahisi kabisa arusha mjini -inaunga wifi hivyo unaweza kutazama kinachoendelea nyumbani au kwenye biashara kwako ukiwa popote duniani kwa simu yako (smartphone) -ina...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kiwanja ukifika Bunju Stand pale unaingia Kulia kama 1km watu washajenga kando ya kiwanja kina Hati na akidaiwi Bei n 80m negotiations 0692685475
0 Reactions
3 Replies
733 Views
Salama wakuu, nmewasogezea hapa printer Hp LaserJet. Printer ipo kwenye hali nzuri kabisa ni (Black&white) kwa yoyote ambaye atakuwa interested bei yake ni 250,000= top top, kwa mawasiliano zaidi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Je, wajua kua Brand nyingi maarufu zinazotengeneza AV Receivers huweka sound decoder kwaajili ya ku control sorround sounds...au 3D sound formats Na hizo decoding softwares kuna makampuni...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habarini,leo tena nawakumbusha kwa wanaoendelea kujenga kwenye maeneo madogo hata makubwa kwamba huna haja ya kuchimba mashimo kwaajili ya Choo,tumia technology yetu ya Biodigester Decentralized...
6 Reactions
215 Replies
51K Views
Kuuza bila Dalali ni mauzo ya mashamba, viwanja na nyumba ambayo yanafanyika bila kuhusisha dalali kati ya mwenye nyumba na mnunuzi. Hivyo huwezi kulipia ada ya dalali wa nyumba na ardhi. Kwa...
2 Reactions
3 Replies
4K Views
Miche ya mdalasini inauzwa 2600/@ +255762967548 Kampuni ya Nehemia One Co Ltd inajukumu la kufanya wawekezaji kufikia ndoto zao. Kutokana na uzoefu wa soko la MDALASINI ndani na nje ya nchi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari,wadau nauliza Kwa mwenye ufahamu juu ya biashara ya kuprint viroba mfano Vya sembe Kwa wanaosagisha mahindi na hata mifuko mingine. Kwa anayefahamu: 1:Upatikanaji wa printa na bei zake...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakubwa kwema? Wapi naweza Pata sehemu Nika print viroba? Ninataka kuprint viroba au magunia Niko Dar es salaam. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Wadau hope mpo pouwa... Nilikua naulizia gharama za mashine ya kuprint viroba kama vya unga wa sembe,ngano ni Biashara nayo ifikiria kwa mitaa ya manzese.... Asanteni sana Masue safarini kigoma.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Laptop for sale... #0714624784 Specs Core I 7, 4RAM, SSD 128, Touch and rotatable screen, Price: 450k Tsh.
1 Reactions
1 Replies
633 Views
Back
Top Bottom