Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

[emoji3591]Wadau habari za jioni Eneo linauzwa Dodoma mjini...maeneo ya kikuyu South extension. [emoji3591]Eneo lina square mitre 373 [emoji3591]Lipo karibu kabisa na station ya treni ya mwendo...
0 Reactions
9 Replies
889 Views
Hellw nauza dell laptop. Specifications: Intel core i-5 ,5th Generation ,2.2Ghz 500 HDD,8 GB RAM Windows 10 64 bit Supports USB/HDMI/Wifi/webcam/ethernet/aux jack 14" HD display...
1 Reactions
28 Replies
2K Views
Habari za wakati huu; Kama wewe ni mfuatiliaji wa makala zetu basi utafahamu kwamba tumekuwa tukijitahidi kwa kadiri ya uwezo wetu kushea baadhi ya maarifa na taarifa ambazo tunazo kwa ajili ya...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari za wakati huu wajasiriapesa wenzetu; Kwanza kabisa niwashukuru sana wale ambao hunitafuta na kutumia huduma zangu za ushauri na uelekezi ni niwaambie kwamba wanachangia katika kunipa elimu...
4 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari za wakati huu.Kama kawaida yangu huwa napenda kuleta mada na mijadala mbalimbali inayohusu biashara na ujasiriamali.Mijadala hii inalenga zaidi kupeana mbinu,ujuzi na uzoefu ambao...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
  • Poll Poll
Tunauza spare za magari aina zote, toyota, nissan, mazda, subaru, coaster, hiace,fusso, canter, tata, eicher, nk. Tupo Tanga mjini na mikoani tunatuma. Jumla na rejareja. Pia tuna battery zenye...
0 Reactions
4 Replies
904 Views
Ndugu zangu kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu ni kuwa tunanunua zaga za aina zote hizo hapo juu. Tupo Dar es salaam ila kama mzigo ni mkubwa hata mkoani tunafika na kufanya biashara...
0 Reactions
18 Replies
7K Views
Habari wapendwa, Nauza simu yangu aina ya Huawei Y7 Prime Internal GB 64, Ram GB 4, battery capacity 4,000 MAh. Bado mpya kabisa Bei yake ni 290k (laki 2 na 90) pamoja na Charger yake Kama...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kama kichwa kinavyosema. Location popote tz ila miji midogo inayokuwa. Nafikiria kupachika Car Wash. Eneo lisiwe mbali sana na centre (yani sio lazima upande gari/boda kutokana na umbali...
1 Reactions
10 Replies
959 Views
Habari wadau, Nauza printer ambayo ni photocopier pia, Model Canon IR 2425, Ina print, copy na Scan. Ina uwezo wa kuunganishwa kwa Network, Bei ni 2 million kamili. Ipo Dar es salaam...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
NI LAPTOP MPYA KABISA SIFA ZAKE: 1. INA WEB CAMERA 2.INA NOTISI ZA MASOMO YOTE KUANZIA SHULE ZA AWALI HADI KIDATO CHA NNE 3.INA KATUNI, GAMES PAMOJA NA MICHEZO MBALIMBALI YA WATOTO. 4. INATUMIA...
4 Reactions
49 Replies
6K Views
Jipatie begi kwa ajili ya matumizi mbali mbali ikiwemo kuweka laptop,nguo na vitu vingine Condition: new Colour: black Brand:Duslang Price:100,000/= Tunafanya delivery popote Contacts:0764108259
0 Reactions
5 Replies
595 Views
Kiwanja kinauzwa goba tegeta A Mtaa kazimoto street. Sqm 360 Price 9.5m Huduma zote za msingi zipo ikiwemo maji na umeme. Gari mpaka kiwanjani. Call: 0767507487
1 Reactions
1 Replies
883 Views
Habari wakuu. Iwe maeneo ya kati kati ya jiji au jirani na City Center. Lengo ni tunatoka mkoani kuja kurekodi kipindi cha afya ya ngozi. Piga 0713039875
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari. Natafuta MAYAI KUKU WA KIENYEJI Trei kuanzia 50+ Nipo Dar es salam. Note: SIO MAYAI CHOTARA.
1 Reactions
4 Replies
917 Views
Manufacturer:CATAPILA Model:320CL Year:2005 Working hours:9876 Attached bucket only Price:200M Contact:0658124554
1 Reactions
0 Replies
409 Views
Habari za wakati huu; Wakati nikiwa shuleni niliambia kwamba Every Company employee is Sales Agent and a marketing Agent.Kila mwajiriwa wa kampuni ni afisa masoko na afisa mauzo.Kila afisa masoko...
2 Reactions
4 Replies
5K Views
Mamb vp wadau wa JF, ebwana natafuta frame maeneo tajwa hapo juu kwa ajili ya kuanzisha duka la accesories ,frame ikiwa maeneo ya sinza au makumbusho itapendeza zaidi frame iwe na kigai na gypsum...
2 Reactions
33 Replies
5K Views
Hellow Jf Members habari zenu,Nina Million sita cash nahitaji Gari ndogo aina ya Ist,Raum au Allex ya namba D iliyopo kwenye hali nzuri ya kwenda na kurudi Kazini tu Kama unayo nicheki hapa ila...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom