Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Je wajua kuogelea kunaboresha afya na ni ujuzi mzuri maishani pia ni burudani. Karibu umwandikishe mwanao kwenye darasa la kuogelea likizo fupi ya pasaka darasa la siku 8 Certificates zitatolewa...
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Make: Mazda Model: Verisa Model number :DBA-DC5W Body type:station wagon Colour:Grey Year:2004 engine capacity:1490 Fuel used:petrol Seating capacity:5 Km:49000 Bei m 90000000 Milioni Tisa tu
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Nahitaji kununua kiwanja Dom. Kisizidi 400 sqm Umbali sio zaidi ya km 3.5 toka mjini Kiwe na Hati na kimepimwa Kiwe pembezoni mwa bara bara kuu ya lami yenye movement ya watu na magari.
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Hello Jf Hili ni eneo lenye mita za mraba 4,248 limepimwa tayari beacon zipo Hati ipo, inasoma Biashara na Makazi Halina tatizo lolote. Unaweza Weka Biashara yoyote unayoona inafaa (KAMA...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Kiwanja Kipo Oysterbay mita 50 kutoka Oysterbay Lodge, kipo jirani na kituo cha mabasi Oysterbay uelekeo wa UDOM upande wa kushoto kuna barabara ijulikanayo kama Oysterbay road. Kiwanja ni kizuri...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Chumba Choo ndani ( Masta ), Sebule Na Jiko. Kodi kwa Mwezi ni Tshs 230,000 Mahali Goba ya Karibu Na Mbezibeach Mawasiliano 074214146
1 Reactions
5 Replies
849 Views
Kama una radio au subwoofer ya zamani,usiichukie radio yako bali weka hiki kifaa ili uweze kutumia Bluetooth, flash na memory card kama radio za kisasa. Sony, Aiwa, Panasonic n.k hizi radio...
8 Reactions
58 Replies
9K Views
Ipo Tabata kisiwani katikati ya Mwananchi na tabata Mawenzi 1 masters 3 bedroom Dining Sittin room Kitchen. Nb haina tiles
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Nauza lkitanda changu kipya hakijatumika cha kisasa labisa location mbezi luizi
2 Reactions
5 Replies
584 Views
Natafuta Nyumba Ya Kupanga Dar Es salaam. VIGEZO: 1.Iwe Maeneo ya Magomeni Mapipa,Mikumi,Kanisani au Usalama 2.Nyumba Yenye Ngome(Iliyondani Ya Geti) 3.Chumba...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30+ ,Ninahitaji Msaada wa kupata uzoefu katika kuendesha gari za Manual , nilienda VETA lakn bado sina uzoefu nahitaji kupata uzoefu ili niombe kazi...
3 Reactions
11 Replies
3K Views
Habari zenu ndugu zangu wa jf poleni na majukumu ya hapa na pale.. Huu uzi ni kwa ajili ya kutoa elimu kuhusu mifumo yote ya bomba katika nyumba ikiwemo mifumo ya maji safi na maji taka drainage...
2 Reactions
11 Replies
5K Views
Poverty in my opinion is lack of the ability to obtain the basic needs of life when we need them.It also lack of assurance or confidence of acquiring the basic needs of life in the near future...
1 Reactions
7 Replies
960 Views
• Mahali: Ilala Bungoni • Ukubwa kiwanja: 73 kwa 70 • Nyaraka: Hati • Bei: TZS 220,000,000 Kwa mawasiliano #0759609942
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Mm ni Mjasiriamali wa kuonyesha mpira ila biashara imekua ngumu baada ya waonyeshaji kuwa wengi. Sasa naomba anayehitaji Dishi DSTV anipe dishi la Azam anichek 0788222700.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wanabodi kama kuna mtu anauza king'amuzi Cha Azam anitafute nahitaji ving'amuzi sita na Azamu wenyewe wanataka ninunue na dish wakati shida yangu sio dish. 0715200767
0 Reactions
6 Replies
982 Views
Kama una benchi zuri la mbao (lisiwe la chuma na lisiwe na sehemu ya kuegemea) linalotosha kukaa mpaka watu wanne njoo PM tufanye biashara. Kama wewe ni fundi seremala na unaweza kuniahidi...
1 Reactions
7 Replies
920 Views
NEW UPDATES: TAWA WATER PROFFESIONAL Ghalama za kuchimba kisima na Underground Water Survey. Dar Es salaam: kuchimba ni Tshs 80000 kwa mita moja unawekewa bomba na pampu Dar Es salaam Survey...
1 Reactions
152 Replies
17K Views
Habari zenu Nauza friji hii iliyotumika almost miaka 9 hv Sifa zake: 1. Rangi nyeupe, ila vema ukiirudidhia rangi 2. Ni kubwa 3. Aina ya Bosch 4. Inafanyakazi japo ufanisi umepungua kiutendaji 5...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Kwa ambaye atahitaji huduma yoyote hapo basi Usisite kunipigia , Huduma zoote hapo zinapatikana hivyo kwa atakae kua Tayari napatikana Masaa yote yale kikubwa ni kua Sereous , WELCOME CUSTOMER...
0 Reactions
0 Replies
332 Views
Back
Top Bottom