Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari wana JF Nauza nyumba yangu kwa 22mil kwenye eneo lenye ukubwa wa sq 500 imepauliwa na bati la msauzi mgongo mpana ila sijaendelea na chochote baada ya hapo... Ila ni nyumba ya vyumba 3 vya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Grab this unbeatable offer: 199,000/= HP Laptop for sale Specs Model HP 6550b Ram 4GB Intel i5 Battery (charge) depletion time 45"- 1hr ❌Webcam isn't working ( but you can use external webcam)...
0 Reactions
1 Replies
922 Views
TYPE :German Shepherd GENDER : FEMALE AGE : 6 MONTHS LOCATION : DAR ES SALAAM PRICE : 600K Very active with shining coats. Interested, please inbox or whatsap 0718239997 kwa maelezo zaidi Sent...
1 Reactions
12 Replies
933 Views
Habarii! Ninatafuta fremu ya biashara ya duka la dawa muhimu (DLDM). Kati ya moja ya maeneo haya mwanza, dar es salaam, na nzega. Kwa anaeweza fanikiiwa tuwasiliane PM inbox
0 Reactions
2 Replies
950 Views
Habari zenu wanajf. Nitumie fursa hii kuwatangazia kuwa ninauza maziwa mgando kwa bei ya tsh1,500/= kwa lita moja maziwa yetu ni mazuri hayaja chakachuliwa kwa namna yoyote ile. Makazi yangu ni...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Natumain wote ni wazima mnaendeleea na kupambana kutengeneza uchumi wenu na wa Taifa letu. Nahitaji marine board na mirunda vilivyotumika Dodoma au singida kama unauza au unajua anayeuza na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Aina haojue,bado ipo kwenye upya wake. Ipo kibaha,kokote inafika. inafaa kwa biashara ya Boda Boda au binafsi. 0693135215 Milioni moja na laki mbili
1 Reactions
26 Replies
2K Views
Habari wakulungwa Niko dsm, Natafuta backhoe, used ya kununua It is urgently pls Tuwasiliane 065-932-5453
1 Reactions
2 Replies
654 Views
Halo habar wana JF, Naomba mwenye kujua kampuni gani wana pasi za kunyoosha nguo imara na zinazodumu au namna ya kutambua pasi feki na orijino
1 Reactions
28 Replies
7K Views
Habariniwakuu na pia napenda kuwapa pole na majukumu ya ya Kila siku husika na mada tajwa happy juu kuwa nyumba inauzwa 10ml. Ipo pugu kimyamwezi umeme upo pia Hadi bomba la maji lipo Kwa...
1 Reactions
3 Replies
701 Views
Mashine ya kusaga onauzwa mashine bado ipo kwenye hali nzuru kabisa , ina mwezi mmoja tangu itoke dukani aina ya mashine ni YD , HP 20 , pia inatumika kuchania mbao au kumwagilia mashine ipo...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Hii ni miche ya mikomamanga meupe,inaanza kuzaa mwaka mmoja hadi miwili,ni matamu zaidi na mbegu zake laini zinatafunika...inakuwa zaidi maeneo ambayo udongo wake hautuami maji. Mche mmoja ni elfu...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Biashara ya utoaji wa huduma za mikopo kwa ajili ya ukarabati na maboresho ya nyumba ni moja ya njia za kujenga utajiri kupitia uwekezaji huu. Hii sio njia ya moja kwa moja ya kuwekeza kwenye...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wakuu Nauza hii scan tool kwa ajil ya kupimia matatizo kwenye gari Inasoma faults code mbalimbali Inafuta faults code Wireless connection Internet browser Inapokea updates Nk. Price...
0 Reactions
0 Replies
607 Views
Teknolojia makini kwa wafanya biashara makini, jiunge sasa na StraightBook mfumo unaomuwezesha mfanya biashara au mjasiriamali kuendesha biashara kwa mafanikio. ukiwa na straightbook huepusha...
0 Reactions
4 Replies
569 Views
Tunauza nguo za mtumba za watoto, Rejareja na jumla kupoint, jumla za Winger na ballos. Karibu tukushauri pia kuhusu biashara hii. 0712029027
1 Reactions
1 Replies
728 Views
Kwa Laki 2 tu unapata website + hosting mwaka mzima + SSl cerifate Baadhi ya kazi zetu
1 Reactions
41 Replies
4K Views
Wajumbe kwema... Nina prado 3rz... 95 series (almaarufu Prado Mchaga). Nahitaji mtu mwenye prado ya 1kz. Tufanye exchange nitafanya Top up kidogo ikiwa condition ya gari yake ni bora zaidi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Uzuri wa nyumba sio uimara wa msingi au boma. Uzuri wa nyumba ni pamoja na urembo wake kuanzia nje na mpaka ndani. Pia uzuri wa nyumba ni pampja na muonekano wake, muonekano wake hutegemea urembo...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Tiles za mawe za kuuza. Bidhaa zetu zote ni zinazozalishwa katika Arusha. Tunakomboa nchi kote. Bei Huaanza kutoka 30,000 tzs kwa m2 hadi 50,000 tzs kwa m2 kwajili ya wall cladding tiles. Paving...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom