Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

lap top aina ya HP inauzwa ipo kwenye hali nzuri bei ni laki nne na nusu (450000) Ram ni GB 8 HDD ni GB 1000 Edition ya 7 napatikana mwenge Dar es salaam. mawasiliano 0763202727
0 Reactions
10 Replies
970 Views
#MKATA_POULTRY_PROJECT 0766406734 WAUZAJI WAZALISHAJI NA WASAMBAZAJI WA VIFARANGA WA KUKU WA AINA MBALIMBALI VIFARANGA WETU TUMEZINGATIA UBORA NA VIGEZO MUHIMU NA PIA TUNAWAPATIA CHANJO ZA AWALI...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
machine ni automatic, inatoa aina 2 za mikunjo, it4 na vigae, nyingine inatoa aina moja ya mkunjo corrugated au migongo ile midogo ya kawaida, inatumia 3phase, material inaingia 100cm inatoa 92cm...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
It's a nice car. Needless to say muuzaji anataka 5.5 Mln. Serious buyers inbox.
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Nyumba inapangishwa ipo kahama buswelu manispaa ya Ilemela ipo pembezoni mwa barabara itokayo buswelu kwenda Ilalila, ina vyumba vitatu, viwili master, public toilet ya ndani na nje ,sitting room...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu habari za muda huu? Nina uhitaji wa haraka sana wa remote control ya dell Projector aina ya 1550. Ninaomba kwa yeyote mwenye nayo anijulishe.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Pagala linauzwa Kibaha Kwa Mathias, Lina; Vyumba 3 (kimoja master) Sebule kubwa Jiko Stoo Public toilet Umeme uko pembeni ya kiwanja Maji Yako jirani Kutoka kituoni nauli ya boda ni shilingi elfu...
0 Reactions
0 Replies
517 Views
Changamkia hii fursa kiwanja kinauzwa hakina dalali ni mtaa wa Rasta zuma kata ya terrati...jijini arusha. Huduma za kijamii .maji umeme vipo na usafiri wa daladala ni wa uhakika. Mmiliki amehama...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Mambo vipi? Mimi nauza simu bwana. Lakini kwa wateja ambao wanatafuta simu zenye storage kubwa. Yaani umechoka kufuta picha au document ofisini mara kwa mara. Na unatafuta simu yenye uwezo...
1 Reactions
6 Replies
977 Views
Njoo uchukue bajaj hii inafanya kazi ya kubeba abiria hapa hapa igoma jijini Mwanza engine nzima, seat nzima, 0713096076 kwa siku unaweza ingiza 15,000+ faida tupu Tunaanzia 2,500,000 it...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
iPhone 12 Pro Max  •Storage 128GB [emoji3541] •Graphite [emoji835]️ •Battery Health 98%[emoji367] •LLA____Stock [emoji631] •With Box [emoji403] Tsh 2,150,000/=[emoji383] •10 Months limited...
0 Reactions
1 Replies
963 Views
Karibu tukuuzie nyumba ya Kisasa kabisaaa Nyumba ipo maeneo ya pangaboy Kama unaenda Mpobo. Unaweza kupitia barabara ya Mbopo inayotokea Mkoroshini, au kupitia barabara ya Mbopo kutokea madale...
0 Reactions
1 Replies
611 Views
Karibu wapendwa tujenge taifa pamoja. Tuna viwanja vizuri Sana Msumi mwisho. Vimekaa vizuri Kama unavyoona kwenye picha. BEI yake ni rafiki kiwanja Cha 20X20 ni milion 10..ILA maongezi yapo(...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Tusijifungie sana ndani. Tuwe na kawaida ya kudunduliza pesa kwa ajili ya kusafiri nchi za mbali huko na kutazama maisha kwa upande mwingine. Kusema ukweli, ukiwa sio mtu wa kupangilia mambo yako...
12 Reactions
71 Replies
5K Views
Habari ndugu zangu, Mimi ni kijana niliejiajiri na sasa nimepata fursa kubwa zaidi hivyo nauza vifaa vya saloon hivyo kwa anaehitaji chap anipigie kwa +255625981281 *Machine *Kiti *Vioo kidogo...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Machine used ya kupress bush inahitajika. Iwe imara Nzima. Mahali Dar es salam 0689773867
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Mashine ya kuhesabia Hela bei ya offer 330,000/= Free delivery Condition: New Tupigie 0745146690 / 0656190449 Ofisi yetu ipo Kinondoni Studio CHRISTMAS OFFER
2 Reactions
6 Replies
4K Views
Showcase mbao mgumu sio mdf Urefu:Futi 5 Inaenda kwa 300,000 Maongezi yapo pia karibu 0712654515 Ukonga Dar es Salaam
1 Reactions
0 Replies
436 Views
Habari za siku Hii biashara ya dagaa wa kukaangwa nilikuwa naifanya kwa kipindi flani ila nikasimama kutokana na mtu aliyekuwa tunafanyanae biashara kuacha biashara kwa sasa ndio nataka nirudi...
3 Reactions
20 Replies
7K Views
Back
Top Bottom