mfuga kuku
JF-Expert Member
- Jul 14, 2014
- 850
- 663
Wana bodi habari, kama mjuavyo tuko mbioni kuelekea ktk mavuno ya nafaka mbalimbali, mwaka jana nilijaribu kuhifadhi mahindi ktk viroba vya kunga njaa! ilikua ni viroba viwili tu kwa ajili ya chakula cha familia, mahindi yale nimetafungua mwaka huu na huwezi amini yapo vzr hayajashambuliwa na wadudu. Baada ya matokeo hayo nimepata wazo la kuhifadhi kwa uwingi zaidi ili nije nipige hela baadae.
Hoja yangu ni kutaka kujua lilipo chimbo la viroba hv vya kinga njaa ili kusudi nivihifadhi mapema.
Ahsanteni.
Hoja yangu ni kutaka kujua lilipo chimbo la viroba hv vya kinga njaa ili kusudi nivihifadhi mapema.
Ahsanteni.