Emmathias
JF-Expert Member
- Jan 22, 2018
- 681
- 968
Kwa majina naitwa James Emmanuel nina umri wa 27 nimehitumu chuo kikuu mwaka jana mwezi wa 8, Hivyo kulingana na janga la ukosefu wa ajira nimeamua kujiajiri kupitia biashara ya Mchele.
Mchele wangu unatoa KAHAMA na kuleta Moshi - Kilimanjaro. Mchele wangu ni mzuri wenye sifa,ulionyooka na unanukia.
Nimekuja humu JF kutafuta mtu ambaye atakuwa anahitaji mchele kwa matumizi ya nyumbani, hotelini, mikutanoni nk. Ili aweze kuniungusha. Na kama utakuwa na hoteli basi naomba unipe oda niwe nakuletea mpka ulipo.
Kuhusu bei mchele wangu una bei nafuu sana, kwa mawasiliano zaidi naomba uje PM
Natanguliza shukrani
Sent using Jamii Forums mobile app