KIWANJA KWAJILI YA UJENZI MTWARA MJINI

KIWANJA KWAJILI YA UJENZI MTWARA MJINI

mwanagezi

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2021
Posts
284
Reaction score
444
Kiwanja kipo sehemu sehemu nzuri panaitwa MJIMWEMA ukubwa ni Sq 800,ni sehemu Safi karibu na CHUO Cha biashara(T I A) mawasiliano
 
Kina Hati?
Bei?
Malipo yanalipwa Kwa awamu au taslimu?
Huduma za maji na umeme zipo karibu?
Kutoka mjini mpaka kiwanja kilipo ni Km ngapi?
Kipo barabarani?
 
Back
Top Bottom