Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Bado ipo clean kama mpya haijatumika muda mrefu iko kwenye condition nzuri Inashoot movie Memory 8GB Mkanda Charger Lens 18 - 55 Bei 650000/= maelewano pia yapo Nipo Mombasa Ukonga
0 Reactions
0 Replies
427 Views
1. Safari ya Bulicheka. 2. Tajiri wa Babeli. Nicheki whatsapp. Vingine vingi. Kwa Tsh 2,000 hadi 4,000 utapata softcopies, za vitabu hivi. Tunakutumia kwa whatsapp. 0715278384 Pia kuna bonasi ya...
3 Reactions
10 Replies
3K Views
Habari!? Poleni na mahangaiko ya leo.Nahitaji vitabu kama 10 per pair kwa vitabu tajwa hapo juu. Napatikana Temeke Dsm. kama unavyo tuwasiliane. Natanguliza shukurani.
0 Reactions
4 Replies
454 Views
Leo tutazungumzia tatizo linalowapata watu wengi sana pale umri wao unapokuwa umezidi miaka 50 na hasa wale wenye miili mikubwa. Nina uhakika kuwa umewaona akina mama wenye umri mkubwa na miili...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nauza beeswax au NTA. Kilo Moja 10000tsh. NATAFUTA MTEJA WA UHAKIKA ambae nitamuuzia Kwa namna ya kuwa supplier wake Kila mwezi, Kg100+ Mawasiliano ya haraka.0679012499.
1 Reactions
0 Replies
635 Views
Ninauza asali Kwa Bei ya JUMLA tsh 6500tsh Kwa LITA. Bei hii ni Kuanzia Lita 20. Nipo Mbeya MJINI. Karibuni ndugu. Mawasiliano ya haraka...0679012499 Asali hii ni kutoka MPAKANI MWA MBEYA na...
0 Reactions
1 Replies
635 Views
Nauza mabegi Medium size Price:50,000 Contacts:0686-942-315
2 Reactions
3 Replies
661 Views
Kama kichwa cha habari kinavyosema. Ndugu zangu, mimi nataka kununua TV ya mtumba. Ila sijui nianzie wapi. Kariakoo nimeenda ila nimekuta TV nyingi pale ni za dukani (yaani mpya). Kama kuna...
3 Reactions
31 Replies
4K Views
Samsung Used Stock [emoji599] Sumsung s6edge ... 200,000Tsh Sumsung s7edge .... 260,000Tsh Sumsung s9...360,000Tsh Sumsung S9+ ...430,00Tsh Sumsung s10...470,000Tsh Sumsung s10+ ..550,000Tsh...
1 Reactions
0 Replies
438 Views
Habari wadau. Natoa huduma za kuuwa wadudu/fumigation,kwa kupulizia madawa . Napatikana dar es salaam Tunafanya majumbani maofisi na sehemu zingine zozote, Kwa upande wa Bei zetu ,huwa...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
wazee wa baja wazee wa madede chombo hicho hakina shida bei ya nzuri 1,200,000 tu. kadi yake ipo njoo na pesa unalipa unachukua chombo... namba zangu njoo dm
0 Reactions
2 Replies
477 Views
Karibu kwa huduma zifuatazo: 1.Ramani za nyumba(kuanzia 250,000/=). 2. Makadirio ya gharama za ujenzi(B.O.Q) 3. ufatiliaji wa Vibari vya ujenzi 4. Ujenzi na usimamizi. Karibu nikuhudumie...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Nauza vifaranga (vijogoo) vya umri zaidi ya wiki 2. vifaranga vina chanjo viko Mtoni Kijichi, Dar. ". kwa idadi na bei pigs 0754573036 au nitumie PM message
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Apple Macbook Air Late 2020(M1 Chip) 13" M1 7 CORE / 8GB / 256GB@ -Space gray(Arabic/English Keyboard) Space gray/Gold. @ 3,000,0000/= Apple Macbook Air Late 2020(M1 Chip) 13" M1 8 CORE / 8GB /...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Kwa Mahitaji ya nyama Safi ya Kitimoto hapa ndo Mahali pake Usihangaike Kwenda Umbali Mrefu Kutafuta Bucha la Kitimoto Mambo Sasa ni Rahisi Unaweza Kuletewa Nyumba Nyama Safi tena Kwa bei Nafuu...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Nauza mlango wa Kioo (Aluminium) mahususi kwa kupachikwa kwenye fremu ya biasharaSize: Futi 7 kwa futi 7. Umetumika kwenye frame ya bucha kwa muda mfupi wa miezi 3 tu, bei ni TZS. 300,000 Tu...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
TOTAL STATION KWAAJILI YA KAZI ZA SURVEY BRAND NI TOPCON USED BILA CHAJA NA BEGI LAKE.... 2 MILLION. MAWASILIANO 0621390287 WHATSAPP AND NORMAL CALLS.
0 Reactions
0 Replies
570 Views
Wakuu habari, nahitaji mashine za kutengenezea mazulia kwa hapa Dar. Ni sehemu gani naweza kupata. Natanguliza shukran
0 Reactions
7 Replies
10K Views
iPhone 11 PRO 256Gb Face id ✅ Truetone ✅ Battery health🔋75% Price : 1,270,000/= Communication: 0784379396
0 Reactions
3 Replies
662 Views
4CORE POWER AND MACHINE COMPANY LIMITED We dealing with:- ■Generator ☆Selling generator Used and New ☆Preventive and Breakdown maintenances ☆Generator installation ■Air Compressor ☆Selling Air...
0 Reactions
0 Replies
737 Views
Back
Top Bottom