Mdau anauza mashelf yake ya dukani.
Mahali yalipo ni mbezi ya kimara.
Sababu ya kuuza ni anahamishia biashara yake mkoani hivyo hatoweza kuyabeba hadi mkoa anaohamia
Bei ni maelewano kati yenu...
Habari zenu, nauza Bajaji ya kijani Aina ya TV's king, iko mikocheni na iko kwenye Hali nzuri Sana na inavibali vyote na inafanya kazi to a Uber na bolt. Bei ni milioni mbili na laki nne (2.4...
Wapendwa wana Jamvi,
Sisi ni mabingwa wale wale wa kuuza viwanja, na mashamba.
Viwanja na mashamba tunayo miliki wenyewe..hivyo biashara yetu haijawahi kuwa ya ubabaishaji (Mashahidi wapo humu...
Habarini wadau kama mada inavyojieleza hapo juu. Natafuta chainsaw used.
1.Aina ni HUSGVARNA(272) 2.20 Inches
Kwa mtu aliyetayari naomba tuwasiliane
NB.
Iwe kwenye hali nzuri isiwe imechoka.
Sio kila kiwanja kinaweza kukutengezea fedha. Sio kila nyumba ya kupangisha inaweza kukutengezea kipato kikubwa na kipato endelevu kwa kila mwaka. Kwa sababu hii, unahitaji kufanya tathmini kabla...
Kwa sasa inakadiriwa kuwa na idadi kubwa saana ya makampini ya ulinzi tanzania, imezoeleka kuona makampuni mengi hapa nchini yakifanya biashara hali ya kuwa yalitakiwa kutoa huduma kwa wanachi...
Jamani mwenye Zilipendwa origino kati ya miaka 1975-1995 naomba awasiliane nami kwa PM.
Hususan natafuta Nuta.Juwata/Ottu, Mlimani Park, Vijana Jazz, Marquis, Mzee Makassy, OSS, Kyauri Voice...
Unaitaji nguo za kike za ndani kwa bei ya jumla,
Unaitaji sendozi za kike na kiume,karibu tuchangiane maisha yaendelee ata usifika ofisini mzigo utakufuata ulipo hapo hapo kikubwa hela[emoji16]...
Salaam wakuu,
Nauza gari aina ya Pajero GDI.
Ya mwaka 2002.
Rangi ni nyeusi.
Namba B.
Cc 1500.
Bei 5 million.
Gari ni yangu mimi mwenyewe na haina tatizo lolote.
Karibuni.
Jipatie kitanda Cha kukunja(camping bed) kwa matumizi mbali mbali ikiwemo kutumia nyumbani, kutumia ukiwa camp nk.
Condition: used
Open size:193x78x34cm
Folden size: 91X78X15cm
Price:200,000/=...