Any massage centre iliyopo Tanga

Any massage centre iliyopo Tanga

lokiyo

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2010
Posts
1,953
Reaction score
883
Wakuu habarini, kama kuna mtu yoyote anafahamu massage iliyopo hapa tanga naomba anielekeze
 
Nadhani Tanga kwa mambo haya wamekubuhu.Zipo hadi za asili nasikia.Cha muhimu ngoja nikutafutie mwenyeji mmoja wa Tanga.Au mtafute jamaa anaitwa Abiclever yuko humu ndani
 
Nadhani Tanga kwa mambo haya wamekubuhu.Zipo hadi za asili nasikia.Cha muhimu ngoja nikutafutie mwenyeji mmoja wa Tanga.Au mtafute jamaa anaitwa Abiclever yuko humu ndani
okay mkuu asante sana
 
Jaribu hizi number kiongozi.. +255785 171717

+255683750000
 
Back
Top Bottom