Habadi z majukumu,
Nauza mziki wa gari full kabisa,
busta Watts 1,3000
Speaker JBL Watts 1,200 (zipo mbili katika box moja)
Equlaizer
Vyote Kwa pamoja nauza 800,000
Unachukua na kufunga...
Wadau Plumbing Ni Group la Mafundi Bomba Wenye Ujuzi Kamili (FTC) Kutoka Vyuo Mbalimbali Nchini. Ikiwemo Veta na Donbosco.
Wadau Plumbing Tunajihusisha na Mambo Mbalimbali Kama;
1. Kusambaza...
Asalaam alaikum
Nawatangazia kua nina kiwanja nauza ambacho kina sifa zifuatazo
. Kiwanja kipo maneno ya Kigamboni maeneo ya puna
. Kutoka barabara kuu ni meter 50
. Kiwanja kimepimwa na tayari...
Tafadhari rejea kichwa hapo juu, kama ambavyo tumekuwa na sessions kadhaa za ujifunzaji wa namna ya uandaaji na uzalishaji wa bidhaa mbalimbali kama:- 1) sabuni ya mchele na ya maji kwa ujumla...
-kiwanja kipo kigamboni ,mjimwema kibugumo
-umbali kutoka main road ( barabara kuu ya rami ni 800 meter. ( kituo shule ya msingi kibugumo karibu na ofisi ya mkuu wa wilaya na mkurugenzi...
Habari!
Tunauza mota za umeme (AC) za mageti kwa ajili ya matumizi ya nyumbani, ofisini, kiwandani n.k. Mota zina uwezo wa kubeba/kusukuma geti lenye uzito wa hadi 1200KG (1.2 Ton) na zinakuja na...
Habari za mwaka mpya ndugu zangu ma GT.
Leo nawaletea habari nzuri, kuwa nina nyumba 3 nazipangisha KODI kwa mwezi ni shilingi 100,000/= tu.
Pia jinsi gani ya kilipia Kodi yako ya mwezi utachagua...
Sofa used zinauzwa bei Tsh 200,000 kwa zote mbili. Zipo Mbezi kwa Musuguri Dar es salaam. Mazungumzo yapo. Kwa mwenye uhitaji tuwasiliane kupitia namba 0762890123.