Jipatie shamba kwa bei chee,
Ni mazuri kwa uwekezaji wa aina zote, ( kilimo, mabwawa ya samaki na mengineyo)
Yapo katikati na karibu na eneo lililotengwa kwa ujenzi wa reli ya mwendokasi, na hiyo...
Ujenzi wa Bandari kavu unaendelea kule Kwala-Ruvu.
kuna fursa nyingi za Biashara, Viwanda n. k
Kama unaitaji Ardhi kwa ajili ya kununua, au kukodisha ni bora ukawahi sasa. Ziko ekari zaidi ya 30...
Shamba liko kijiji cha Kwala (Serikali inapojenga bandari ya nchi kavu na reli ya standard gauge(SGR) bei ni laki 8 kwa Kila Heka 1, zipo Heka 12 kijiji kimepimwa hivyo ukihitaji hati ya kimila...
Ni ndugu yangu. Anatafuta shule ya kukodi. Iwe Msingi ama Sekondari kwenye mkoa wa DSM, Pwani ama Morogoro.
Kwa yeyote anayeweza kusaidia kufanikisha hili anakaribishwa sana.
Mengine...
Habari JFers
Natumai nyote muwazima.
Ninapatikana DAR ES SALAAM.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, nahitaji kununua Toyota GX 110 Grand iliyotumika kutoka kwa MMILIKI ( na si...
Nyingine tena kwa ajili yako..Ongeza ladha na muonekano wa nyumba yako na BOSS SUBWOOFER kwa bei ya TSH [emoji626]230,000/=tu..yenye sifa zifuatazo
BLUETOOTH
FM RADIO
USB PORT
AUX CABLE
Na...
Katika muendelezo wetu wa kubuni vifaa vya ujenzi vya kipekee vyenye ubora wa hali ya juu na gharama nafuu, sasa tuna pavers paving bloks za kipekee Tanzania (kama sio duniani).
Pavers zetu hizi...
Habari wakuu,
Ninanunua kuku wa kienyeji, kuku wa kisasa(broiler), chotara na layers (waliomaliza kutaga au waliokomaa vizuri).
Hivyo naomba mwenye nao tuwasiliane au yoyote anaejua wapi...
Nawasalimia wanajamvi.
Pole na majukumu naomba nijielekeze kwenye mada mzee mmoja tunaefahamiana akanifuata kunitaarifu kuwa anauza shamba lake na ametafuta wanunuzi kwa mwaka sasa hafanikiwi...
Enwo la ekari 4. lilipo ni kigamboni ulongoni, jirani na kiwanda cha Afya maji na maziwa (camel) au na dar es salaam zoo.. au walipotaka jenga show room ya magari ya dar nzima... karibu sana ...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza.
Tunafanya shughuli ya kuuwa wadudu kwa dawa ambazo zimethibitishwa na mamlaka zote nchini Tanzania.
Wadudu aina zote tunapambana nao warukao,wanaotambaa ...