Vitz new model in good condition
Bei yake 6million (njoo na laki 2 ya dalali)
x'tics
cc 1290
mileage: 100,000kms
piston 3
haijawahi pata ajali
LOCATION: Lugalo, Dar es salaam
mawasiliano...
Kufungiwa ac ni bure
Pipe ni bure 3 mtrs
Bracket ni bure
Ukubwa wa eneo na size ya AC
3×4 mtrs = 9000btu/1 HP
4×5mtrs = 12000btu/1 na robo hp
5×7mtrs =18000btu/1 na robo hp
7×9mtrs = 24000btu/2hp...
Habari zenu ndugu zangu. kwa yeyote anaejua sehem nzuri na yenye usalama mkubwa ambapo naweza acha gari yangu kwa mda mrefu kwajili ya kufanya ukarabati wa board na kupiga rangi.
Gari ni IST New...
ONDOKA NA GARI KWA BEI NAFUU SANA KARIBU WHATSAPP KWA MAELEZO ZAIDI
1.TOYOTA SPACIO
ENGINE 1zz
Engine cc 1970
Full Ac
Full Document
Bei Mil 8.8
2.RAUM NEW MODEL 2004
REG #DE
Low Milleages.
Engine...
Moja ya tatizo linalokumba taifa letu ni kuchelewa kwa miradi ya gesi na mafuta. Majadiliano yamekua yakichukua muda mrefu sana. Labda pengine changamoto imekua kwenye kuelewana na kuridhiana vile...
Nina mpango wa kuanza kufaulisha Ng'ombe Hadi Kenya, nimepata soko lakini naomba kujua bei ya Ng'ombe mwenye uzani hai wa kill >ya 400 ni shilingi ngapi na ninaweza kuwapata wapi.
Nitashukuru wadau
Habari ya jioni wakuu. Ninaulizia ofisi tajwa hapo juu kama kuna ambaye ana taarifa zao ama alishawahi kuwatumia.
Wanadai kuwa guwa wanafanya usafirishaji wa vifurushi kayi ya Dubai na Dar es...
Ndugu yangu natafuta camera nzuri Used yenye uwezo wa still picture Kali niingie nayo vijiweni tayari nina mashine ya picture nzuri EPSON L850 Naomba Pia ushauri wa Camera hizo nitashukuru Sana...
ANAITAJIKA MCHOMA MBUZI NA MISHIKAKI MWENYE UZOEFU MZURI, KWAAJIRI YA BIASHARA BUNJU B. MARIPO NI TZS 5,000 KWA SIKU NA BONUS YA KILA MWEZI KUTOKANA NA MAUZO NA UBORA WA KAZI. KAMA UKO SAFI NA...
Karibu dukani kwetu;Tunauza Urembo aina mbalimbali kwa kina dada na wanawake kwa ujumla;
NB:-Vito havichuniki wala kupauka! Unaweza kuthibitisha kabla ya kulipa;Dar ni free Delivery na mikoan...
Phytodefence ni bidhaa ya Afya yenye bidhaa aina 3 ndani yake ⤵⤵⤵
1.Carotenoid complex.
🌠Huongeza kinga ya mwili kwa 37% kwa ikitumika ndani ya siku 20
🌠Huondoa vimelea vyote vya saratani...
Habari wakuu
Nina shida na vifaa kwa ajili ya kukaangia chipsi, kama jiko, kabati la aluminium, karai , viti nk
Au mwenye chochote kati ya hivyo hapo juu aje tuongee biashara
Nipo dar es salaam...