Foundation (FCS) watoa ruzuku kwa ajili ya miradi, changamkia fursa

The Consult

JF-Expert Member
Jan 20, 2017
220
252
community-the-foundation-for-civil-society.jpg

Habari Wakuu.
napenda kuchukua nafasi hii kuwafahamisha wadau wa maendeleo kwamba Foundation for Civil Society (FCS) wametoa wito kwa ajili ya kupokea maombi ya fedha za miradi (call for proposals )

Taarifa muhimu;

  • Waombaji ni taasisi zote za kirai kutoka Tanzania Bara na Tanzania Visiwani
  • Thematic area/Eneo la mradi ni Utawala Bora (Good governance)
  • Matokeo makubwa tarajiwa ya mradi (Project outcomes) ni ;1) Kuboreka kwa utoaji wa huduma katika serikali za mitaa (LGS's deliver improved quality services, 2) Mfumo madhubuti wa utoaji wa maamuzi na demokrasia unaoakisi haki za makundi maalumu (decision making and democratic processes better reflecting the rights of marginalized groups etc)
  • Kwa miradi ya kati (medium grant, hapa watatoa ruzuku kwa taasisi mpaka 100) fedha zitakazotolewa ni Tsh 50 Mil kwa mradi wa mwaka mmoja, na Tsh 360 Mil kwa mradi wa miaka 3
  • Kwa miradi midogo (innovative projects, hapa watatoa ruzuku kwa taasisi mpaka 35) fedha zitakazotolewa ni Tsh 20Mil-Tsh 49 Mil kwa miradi ya mwaka mmoja.
  • Kwa miradi ya kimkakati/mikubwa (strategic projects, hapa watatoa ruzuku kwa taasisi mpaka 8) fedha zitakazotolewa ni kuanzia Tsh 250Mil mpaka Tsh 750Mil. kwa mradi wa miaka 3
  • Mwisho wa kutuma maombi ni Tarehe 7.04.2017, saa 10 alasir
  • Wenye sifa za kuomba ni NGOs, CBOs, Professional Associations, Trade Unions, Media Organizations, Faith based organizations, cooperatives

Kwa huduma ya kuandikiwa andiko lenye viwango na kwa bei nafuu, tuwasilieni. Nina uzoefu katika uandishi na utekelezaji wa miradi inayofadhiliwa na FCS.

The Consult; + 255 (0) 719 518 367
Dar es Salaam
Tanzania
 
bado uko hai?
 
Back
Top Bottom