Yimakatso JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 7,833 Reaction score 11,446 Jul 28, 2022 #1 Simu ni used ila inatumika vizuri. 32GB storage 2GB RAM Inapatikana Dar Bei 120,000 0711381113 Nimeshindwa kuambatanisha picha kwasababu hapa sina simu nyingine kwa ajili ya kupigia picha.
Simu ni used ila inatumika vizuri. 32GB storage 2GB RAM Inapatikana Dar Bei 120,000 0711381113 Nimeshindwa kuambatanisha picha kwasababu hapa sina simu nyingine kwa ajili ya kupigia picha.
She Quoted you JF-Expert Member Joined Oct 19, 2020 Posts 687 Reaction score 1,189 Jul 28, 2022 #2 kama huwezi kuambatanisha picha basi nasisi hatuwezi kuambatanisha hela kuinunua