Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Hii ni projector nzuri imported from uk imetumika masaa 2000, lenzi yake ina masaa 35000. Model N1839 INAFAA KUONYESHEA MPIRA, KUFUNDISHIA HATA KUCHEKIA MOVIES MBALI MBALI Bei ni 400,000...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Ina 1 year warranty Inch 32 Mikoani pia tunatuma Tupo Kariakoo Mtaa wa Muheza/ Magira Mawasiliano: 0788622610
2 Reactions
14 Replies
2K Views
๐—ž๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ๐—ฏ๐˜‚ ๐˜‚๐—ท๐—ถ๐—ฝ๐—ฎ๐˜๐—ถ๐—ฒ ๐˜€๐—ฒ๐—ป๐—ฒ๐—ป๐—ฒ ๐—ณ๐—ฟ๐—ฒ๐˜€๐—ต ๐—ป๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ๐˜๐—ฎ๐—บ๐˜‚ ๐—ธ๐˜‚๐˜๐—ผ๐—ธ๐—ฎ ๐—•๐˜‚๐—ธ๐—ผ๐—ฏ๐—ฎ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ ๐—ฏ๐—ฒ๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐Ÿญ๐Ÿฌ๐Ÿฌ๐Ÿฌ๐Ÿฌ๐—ง๐˜€๐—ต. ๐—จ๐—ท๐—ฎ๐˜‡๐—ผ ๐—ป๐—ถ ๐Ÿฏ๐Ÿฌ๐Ÿฌ๐—ด. ๐—ง๐˜‚๐—ป๐—ฎ๐—ธ๐˜‚๐—น๐—ฒ๐˜๐—ฒ๐—ฎ๐—ฝ๐—ผ๐—ฝ๐—ผ๐˜๐—ฒ ๐˜‚๐—น๐—ถ๐—ฝ๐—ผ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ๐—น๐—ถ๐—ผ๐—ฝ๐—ผ ๐——๐—ฎ๐—ฟ, ๐—™๐—ฟ๐—ฒ๐—ฒ ๐—ฑ๐—ฒ๐—น๐—ถ๐˜ƒ๐—ฒ๐—ฟ๐˜†: ๏ฟฝS๐—ถ๐—ป๐˜‡๐—ฎ, ๏ฟฝM๐—ฎ๐˜„๐—ฎ๐˜€๐—ถ๐—น๐—ถ๐—ฎ๐—ป๐—ผ, ๏ฟฝM๐—ฎ๐—ธ๐˜‚๐—บ๐—ฏ๐˜‚๐˜€๐—ต๐—ผ ๐—ป๐—ฎ ๏ฟฝM๐˜„๐—ฒ๐—ป๐—ด๐—ฒ...
0 Reactions
0 Replies
627 Views
Hello guys, ~ Natafuta shamba la ekari moja Mapinga au Kerege. ~ Budget yangu ni 1milion. Niko Bunju. ~ Njoo PM kama una shamba tufanye mambo.
0 Reactions
12 Replies
1K Views
FUSO INAUZWAโœ… JIPATIE KWA BEI NDOGO OFFER YA SIKUKUU Mil. 19 Ukilipia Njoo na Dereva wako Gari ni nzima 100% Vehicle details Make; Mitsubishi Model; FUSO Class; Heavy load vehicle GVM 3500...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari. Naomba kuuliza wapi naweza kupata DVD za 8GB, mimi nipo Dar Es Salaam. Naomba mnisaidie namba ya muuzaji anayeuza, nina shida nazo.
0 Reactions
7 Replies
728 Views
Sasa unaweza kujipatia logo kari sana kama hizi kwa bei nzuli kabisa na kwa muda lafiki karibu sana MLB (Mnyilinga logo bank ) ๐Ÿ˜๐Ÿ˜ Kwa mahitaji ya logo nichek DM tuongee kwa bei nzuri sana na...
1 Reactions
2 Replies
535 Views
Nauza au Kukodisha pick up Single cabin Imenunuliwa 2014 ikiwa mpya kutoka South Africa. Namba ya Usajili T4....DBW Kwa Yoyote atakaye hitaji napatikana kwa 0767 848423
0 Reactions
1 Replies
594 Views
Habari Natafuta maranda kwa kiasi kikubwa hasa kwa yawepo Dar es salaaam na Pwani Kama unayo please ni cheki tuongee biashara.
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Wakuu nataka kuingia kwenye biashara ya usafirishaji hivyo natamani kuanza na hiace . Bajeti yangu ni 13M Hiace iwe katika hali nzuri' iwe ni manual na inayotumia diesel
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habar Wakuu Natafuta Sehemu ya Kukodi Jiko la Kitimoto Maeneo ya Dar liwepo kwenye mazingira Rafiki kwa biashara ya Kitimoto Kwa Mawasiliano 0656080608 OR 0622516506
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Model: H8 Pro Max Smart watch, [emoji449]Series 8 appearance [emoji397]android na Apple zote zinakubali, [emoji397]inaonyesha muda km kawaida, [emoji449]Zina mikanda miwili ya kubadilisha...
0 Reactions
4 Replies
618 Views
Habari za muda huu wana JamiiForums, poleni na uchovu wa mihangaiko ya siku nzima. Naomba niende moja kwa moja kwenye maada, kwa research yangu ndogo nimegundua hapa Tanzania wengi hatuna elimu...
0 Reactions
27 Replies
5K Views
Msimu wa likizo tunakuletea baskeli za watoto kwa bei chee changamkia fursa Chagua baskeli utakayoipeneda hapo chini Tunapatikana Tabata Dar es salaam Tunafanya delivery popote Tanzania...
0 Reactions
36 Replies
1K Views
Bei ni Tsh 499,000/= from Belight Technology Mawasiliano: WhatsApp/Call: 0715189999 Brand: Yongmei, Model: YM 758 (BRAND NEW) Keys :61 -Display:LCD Pitch bend & Vibrato:YES USB MP3 player &...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Njoo wasap 0621837193 tubonge inaitajika Pesa ya faster....[emoji120]
1 Reactions
2 Replies
502 Views
Nyumba yako au ardhi yako kuuzwa kwa njia ya mnada wa hadhara ni jambo ambalo linaweza kutokea ikiwa umeamua kujenga utajiri kupitia uwekezaji huu. Chanagamoto ya kuuzwa nyumba au ardhi yako kwa...
6 Reactions
4 Replies
3K Views
Processor 2.4GHz intel Core 2Duo Memory 4GB 800Mhz DDR2 SDRAM Graphics ATI RADEON HD 2400 XT 128MB Display 20-INCH Storage 250gb Bei tzs 250,000/= 0659504481 Nipo Mbagala
0 Reactions
0 Replies
493 Views
Kichwa chajieleza hapo juu, natafuta gari ya kununua kama hiyo hapo offer yangu ni 40 kushuka chini. Nitext WhatsApp, unitumie picha, location, na baadhi ya maelezo kidogo kuhusu hiyo gari. Pia...
5 Reactions
20 Replies
2K Views
Unapotaka kununua kituo cha mafuta uliza yafuatayo kuhusu kituo hicho kabla hujafanya maamuzi 1.Uliza location ya kituo hicho. 2. Uliza connection za wateja wakudumu ambazo kituo hicho...
0 Reactions
0 Replies
355 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ