Madalali natafuta nyumba

Madalali natafuta nyumba

mzeemkavu

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2017
Posts
552
Reaction score
474
Natafuta Nyumba Ya Kupanga Dar es salaam.

VIGEZO:
1. Iwe Maeneo ya Kigogo mbuyuni mpaka chawote au Magomeni Mapipa,Mikumi,Kanisani au Usalama mpaka manzese

2. Nyumba Yenye Ngome(Iliyondani Ya Geti)

3. Chumba Kimoja(Self-container),Sebule,Jiko (vyumba viwevikubwa )

4. Iwe Ina Ceiling board

5. Kodi Laki Na Nusu Kwa Mwezi mpaka laki mbili na nusu

6. Pesa Ya Dalali natoa (Tunaweza Ongea Pia)
Napokea Ushauri Pia
 
Back
Top Bottom