Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari wana jamiiforum. Tumesajiliwa kama kampuni ya kukodisha magari. Tunakodisha magari aina zote makubwa kwa madogo kwa ajili ya Taasisi,harusi,msiba, na miradi mikubwa kwa midogo kwa bei...
0 Reactions
27 Replies
2K Views
DELL LATITUDE LAPTOP INAUZWA SPECIFICATIONS: Screen Size: 14 inch Processor: Intel Core i3 RAM: 4GB Hard Disk: 500GB Bei: 500,000 Mawasiliano: 0768444224
0 Reactions
0 Replies
639 Views
Habarini wakubwa kwa wadogo, natafuta gari ndogo ata ikiwa namba A iwe ni corolla, carina n.k nitakayoweza kuingia mkataba kwa malipo ya awamu ili iwe naifanyia kazi, kwa mawasiliano zaidi...
0 Reactions
0 Replies
575 Views
Nanunua kuku wengi wa kienyeji-mtetea kwa shilingi 5000/=. Kama una kuku wa kienyeji mtetea kuanzia 50, 100, 200, 1000 n.k nanunua kwa bei hiyo Arusha. Ufugaji unalipa.
1 Reactions
49 Replies
7K Views
Kama title inavyojieleza hapo juu wakuu,mimi ni mtu wa masoko kutoka kampuni ya Riyakh logistics,kampuni yetu inahusika na usambazaji wa mafuta ya petrol pamoja na diesel mahali popote pale ndani...
1 Reactions
7 Replies
463 Views
Kiwanja kinapatikana eneo la mbopo-madale ndani ya wilaya ya kinondoni mkoa wa Dar es Salaam. Kiwanja hakijapimwa,ila kina hati ya mauziano kutoka serikali za mitaa. Kiwanja kiko eneo zuri...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Make: Toyota Model: Land Cruiser Prado Year: 2003 Odometer: 122,801km Engine: 3RZ-FE (2693cc - 2.7L) No Accident, No Faults, Well Maintained. Location: Dar es Salaam, Tanzania. Contacts...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Wakuu kama kichwa cha habari kivyo hapo, nahitaj shamba/eneo , heka moja au mbili kwaajil ya kufuga, iwe ndani huko nje ya mji Mwenye kuweka pendekeza vijiji labda niende au mwenye kujua mtu...
4 Reactions
31 Replies
3K Views
Habari gani wanazengo? Nahitaji Plot safi maeneo ya Moshono, Arusha. Budget yangu TZS 7,000,000/= mpaka 9,000,000/= Kati ya Sqm 450 na 600sqm Kisiwe mbali na Lami. Iwe imepimwa safi kabisa...
0 Reactions
1 Replies
723 Views
Habari Wana jukwaa Hongereni na poleni kwa changamoto ngumu za ujenzi wa nchi. Maelezo Kiwanja kinapatikana wilaya ya ilala, Jimbo la Ukonga. Kata ya Kitunda Kutoka Banana unapanda gari za Magole...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Ekali 7 zina parachichi za mwaka mmoja na nusu Lina hati miliki Maji yapo karibu Kijiji cha Mfriga-Lupembe(Njombe vijijini) Nusu kilomita kutoka barabara kubwa ya Vumbi Karibu kwa taarifa...
2 Reactions
8 Replies
832 Views
Habari wakuu. Natafuta nyumba ya kununua iwe na ghorofa moja hapa Arusha na iwe na uwanja wa kutosha angalau nusu eka.
0 Reactions
0 Replies
489 Views
TOYOTA NOAH [emoji91][emoji91][emoji91] SR40 Engine:3s Cc:1990 Year:2002 Color:silver New Tyres Locatio ATTACH=full]2415326[/ATTACH]
0 Reactions
1 Replies
542 Views
Habarini wakuu,ukurasa huu nitaweka bidhaa mbalimbali ninazoziuza sana sana za cake na vyombo vya jikoni. Mawasiliano yangu ni 0746685756 Nita update kila mara vinapoingia. Tunafanya delivery na...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Ni vitabu vya ujasiriamali, biashara na maendeleo binafsi vilivyoandikwa kwa lugha ya kiswahili. Kila kimoja kina mada za kipekee, havifanani. Unaweza ukanunua kimoja, viwili au hata vyote vitatu...
2 Reactions
34 Replies
12K Views
Wasalaam JFs. Namtafuta mtu anayeuza vitu tajwa hapo juu. Meza iwe na droo moja. Pesa yangu 70,000 jumla. Location yangu: Kinondoni, Dar.
1 Reactions
30 Replies
3K Views
Ni kama mita 300 kutoka kiwanda cha Twiga cement wazo hill mkono wa kulia ukiwa unaenda Goba au Madale. Kiwanja kina ukubwa wa Square meters 1000+ bei sh 35m. Maongezi yapo. Mimi ni mwenye mali...
4 Reactions
1 Replies
796 Views
Wapi naweza kupata samaki wa mapambo hapa Dar, kama gold fish etc, ukiacha pale forodhani? Maana pale bei imesimama sana.
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari za asubuhi kwema wana jf kama una ps 4 nikuongezee pesa ngap na ps 3.tufanye biashara
1 Reactions
3 Replies
542 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…