Dear Pigabet Customers,
We regret the inconvenience that had been caused to you during our upgrades for the past week.
However, we would like to inform you that withdrawals through Tigo...
T-shirts/Shati/Jeans/Bukta Kali Sana Za Mtumba Grade One
Hizi Ni Nguo Ambazo;
1. Hazichuji rangi
2. Hazipauki haraka
3. Zinadumu kwa muda mrefu
4. Huwezi ukaivaa alafu ukapita mtaani ukakuta kuna...
Nyama Safi kabisa ya Kitimoto (my wetu) Imeandaliwa vizuri imeshatolewa mafuta na ngozi ya juu! Kwa wakazi woote wa wilaya ya kinondoni mnafikiwa chap kwa haraka!!
Nipe order yako mapema...
Kuna shule moja inaitwa Olduvai sec IPO Moshi Kilimanjaro. Majengo yake yako imara na Ina vyumba vya kutosha vya madarasa, maabara, dinning hall, mabweni, kiwanja Cha mpira, maji all the year...
Kampuni ya Ranchi za Taifa (NARCO) Ltd imeanza utaratibu wa kuwasambazia wateja wake kuanzia maofisi hadi majumbani bidhaa mbalimbali za Kongwa Beef, Nyama Yenye Ubora wa Kimataifa, kutoka kwenye...
Vijana wengi hawana elimu ya kutosha na kukosa kufanya kazi za kuajiriwa kwenye company mbalimbali ila BF SUMA ni company inayookoa vijana wengi kiuchumi na kiafya, bf SUMA ni company inatoa...
Habari za Muda Huu wanajukwaa. Kulingana na changamoto za kukatika Kwa Umeme Kila Baada ya nusu Saa, Sasa nimenyoosha mikono na nimesalimu Amri wakuu.
Tafadhali Sana Naomba mdau mwenye Generator...
Habari za kuamka wajomba,
Natafuta mashine ndogo itakayoniharakishia kazi ya kumenya ndizi kwa uharaka zaidi.
Kutumia kisu nachelewa sana wateja wananizonga.
Kiwanja kizuri kwa ajili ya makazi kinauzwa Kinyerezi - Songas mbele kidogo ya mitambo ya kuzisha umeme ya Kinyerezi 1 na Kinyerezi 2.
Kiwanja kipo eneo la kishua (Kwa wale wanaopajua Kinyerezi -...
Wadau wangu wa nguvu, kwa wale wa Morogoro, kwa shilingi 12,000 pekee utapata kuku wa nyama kuanzia mwezi wa 12 kuanzia tarehe za 20 karibu karibu na Christmas 🎄.
Tupeane ka support hapo...
Karibu ujipatie vitabu vya ufundishaji wa mifugo ya ngurue yenye tija kutoka kwa wafugaji na wakulima waliobobea.
Pia utajipatia kitabu hiki kwa elfu 17. Kitabu kikiwa na muunganiko wa toleo la...
Ndugu wadau kutokana na mgao wa umeme unaoendelea hapa nchini usikubali biashara zako zisimame tunazo standby power diesel generator kwa affordable price kuanzia Kva 10 na kuendelea.PERKINS...
Kwema wandugu....! Mbele yenu ni kijana wa miaka 24 na form six leaver miaka minne nyuma natumia jukwaa hili la jf kuomba msada jinsi ya kupata pikipiki ya mkataba kwani Niko katika jiji la Amoc...
KUGANDA KWA ASALI.
Kitalaamu nyuki hutengeneza asali kwa kuchukua unga wa maua ujulikanao kama pollen (chavua) na majimaji matamu ya maua yaitwayo nectar (mbochi), kutoka katika vyanzo mbalimbali...
Habari zenu wana JF!
Natafuta soko la unga wa ubuyu na mafuta ya alizeti, yeyote anayeweza kunisaidia kupata soko, tuwasiliane kwa 0757140014 whatsapp or sms or call.
Asanteni